Wanawake mnaovaa hivi vipedo acheni mnapoelekea sio pazuri

Dunia imeenda Kasi Sana yaani viskirt tight leo hii imekuwa Ni fashion?si nguo za ndani hizi mnavaa mpaka mjini barabarani hamna aibu msichokijua Ni kuwa wanaume tunapenda wanawake wanaojisitiri kiheshima nyie wa kisasa tunapiga na kuacha tu View attachment 1645501View attachment 1645502View attachment 1645503View attachment 1645504
Hata wimbo wanguvu za kiume tatizo ni hilohilo. Kitu unakiona kila siku hata ukitengewa ukila kidogo tu hamu inakata. Siku hizi hata wanaobaka vichochoroni nawashangaa
 
Af utu tu dude tulikua tunavaliwa ndani miaka miwil nyuma..

Jana maeneo ya goba wakat nanunua mahitaj jion mdada na mama ake wote wamevaa hvo vidude..mama cheus dada cheupe

Ila ukiona mwnaamke anavaa hvo ujue msafi

Mi napenda kumwona mwanamke kavaa hivo ila sio demu wangu avae..marufuk
Kha!kha!
 
hivi ni lini mwanaume ataanzisha uzi humu jf wa kuwaambia wanaume wenzie waache kufanya hiki na hiki kwa sababu ni kibaya ila wafanye hiki na hiki kwa sababu ni kizuri ??
 
ukajiulizaje?
Wallahi...nilikua na drive nikamuona mdada kavaa hicho cheupe..na tshirt nyeupe...na kibengi mgongoni ...nilishangaa Sana.

Nikasema Mimi Sasa imefika mahala nashangaa mavazi ya vijana?...Basi Uzee/utu uzima umenifika...Wacha nifanye IBADA KIFO HAKIKO MBALI.
 
Ni mengi tutaona zaidi ya tuyaonayo sasa acha vyuma viendelee kukaza.
 
Wallahi...nilikua na drive nikamuona mdada kavaa hicho cheupe..na tshirt nyeupe...na kibengi mgongoni ...nilishangaa Sana.

Nikasema Mimi Sasa imefika mahala nashangaa mavazi ya vijana?...Basi Uzee/utu uzima umenifika...Wacha nifanye IBADA KIFO HAKIKO MBALI.

Tujikumbushe enzi zako za ujana
 
Wallahi...nilikua na drive nikamuona mdada kavaa hicho cheupe..na tshirt nyeupe...na kibengi mgongoni ...nilishangaa Sana.

Nikasema Mimi Sasa imefika mahala nashangaa mavazi ya vijana?...Basi Uzee/utu uzima umenifika...Wacha nifanye IBADA KIFO HAKIKO MBALI.
Naomba lift
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom