Wanawake mnaovaa hivi vipedo acheni mnapoelekea sio pazuri

Af utu tu dude tulikua tunavaliwa ndani miaka miwil nyuma..

Jana maeneo ya goba wakat nanunua mahitaj jion mdada na mama ake wote wamevaa hvo vidude..mama cheus dada cheupe

Ila ukiona mwnaamke anavaa hvo ujue msafi

Mi napenda kumwona mwanamke kavaa hivo ila sio demu wangu avae..marufuk
Mmh!why sio demu wako?
 
Mzigo Mmh Mzigo Ukikaa Kwenye Kipedo Utadhani Kinachanika Vile
Hata Mwezi Wa Ramadan Ndiyo Wanaoharibu Swaum.
By Sheikh Kipoozeo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom