FUTURE HUNTER
JF-Expert Member
- Apr 30, 2018
- 2,112
- 2,822
Haya sasa unatatua vipi shida ya paradiso na mumeo?.kuchepuka ndio baadae unakosa nae hamu kabisaa mumeo.mwisho ndio hvo mapanga sasa.Hivi unazungumzia hawa wanaume ukimuona kucheka ujue anaongea na jirani
Na wanawake wa kule Wana dini Wana stara kuanza kuongea hayo ni kama kukosa adabu kwa mumewe
Sema wanawake mnataka mtu kamilifu 100%.yaan akojoze,awe na hela na mengineyo na mtu huyo huwezi mpata.