MKALI W MAMBO
Senior Member
- Aug 9, 2018
- 190
- 136
- Thread starter
- #41
HakikaHii mara nyingi unakuta mke ana mchepuko nje alafu akifika ndan basi full kalenda unyumba.Siungi mkono jamaa alichofanya ila pia siwezi mlaumu kwa maana uchungu wa mapenzi usipoweza dhibiti moyo unaweza fanya ukatili hadi shetani akazirai kwa mshtuko.