Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,440
- 38,437
Nimependa style yako, umenyoosha maelezo !Jamaaaaani[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimependa style yako, umenyoosha maelezo !Jamaaaaani[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio watu wa zanzubari tu bari ni Dini ya Kiislam Duniani koteWatu wa Zanzibar kwa imani yao si wanaruhusiwa kuoa mwanamke zaidi ya mmoja?
Karibu tenaNimependa style yako, umenyoosha maelezo !
Unaunga mkono huyo jamaa kumuua mkewe kisa kanyimwa tamu??
Lazima mjue kuwa tumeumbwa tofauti hakuna mfanano katika hisia wa tamaa za ngono kati yetu na nyie
Kukubali kuolewa haimaanishi kila siku nikupe
Ni haki yako ndio lkn hilo limeandikwa ilo tu mwenza husika kujisikia ni sehemu ya mwili wa mwenza wake lakini haiondoi kuwa mke ana mwili wake na mume nae ana mwili wake
Chezeni na akili zetu nyege zetu zinatafutwa kwa kauli tamu sio km nyie ni vuu paa kitu tayari kimeenda wima
Jifunzeni kuturidhisha vinginevyo mtajiua na kunyongwa kwa sana tu
OkHuko sahihi kuna baadhi yetu wanaume siyo waelewa hasa pindi wanaposhikwa na nyege lakini hiyo ya kutokuwa na hisia siyo sababu tosha ya kumnyima mmeo pussy. Wanawake wengi pia hawana mawasiliano mazuri na waume zao kuhusu hii kitu. Wao hata kama wana sababu za msingi kutoshiriki hilo tendo watasingizia kuchoka, usingizi au hataki. Mwanaume akielezwa vizuri sababu ya kukataliwa ataelewa, mfano kama mke huko kwenye siku za hatari na hutaki kushika mimba mwelimishe kidume kuhusu hilo hasipoelewa basi ujue ni hamnazo na utafute njia sahihi ya kumtosheleza maana tayari una mkataba naye.
Tatizo ni NYEGElizationHuyo mwanaume kichwa Maji. Kunyimwa tendo ndo aue!? Wacha nikae kimya
Absolutely!!!Sio watu wa zanzubari tu bari ni Dini ya Kiislam Duniani kote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa matumizi yako ya H kiboko asee.