Wanawake mnaenda staili gani kitandani?

Wanawake mnaenda staili gani kitandani?

huwezi kuikomboa nchi kwa kutegemea vijana wanaowaza pombe na ngono--Che Guevara

acha hizo. tbl ndio walipaji wakubwa wa kodi inayotumika kwenye maendeleo (kuikomboa nchi kiuchumi). bila walevi hiyo kodi ingetoka wapi? acha dharau zako.
 
Wanawake wote hawafanani, anachopenda huyu mwingine hapendi. Jaribu kumuuliza mhusika mwenyewe ile inayomfikisha kibo na uitumie.

wanaogopa kusema, anadhani akisema ataonekana mapepe.
 
Disemba mlisema watoto wa SHULE!Na huyu je!
Inawezekana kabisa huyu ni mtu mzima na akili zake ndogo!

wee acha dharau. hz ni staili za wakubwa sio za watoto--hivyo zinapaswa kujadiliwa na wakubwa. watoto wataziweza wapi hizi? we ulitaka watoto ndio wazijadili, sio watu wazima wenye akili timilifu? unadhani ni vichaa tu ndio wana practise hizo styles?
 
MMU ni jukwaa la kukomboa mahusiano sio nchi. Kukomboa nchi nenda jukwaa la siasa.

mkuu, you nailed it. hata mimi nilitaka kusema hivi--hili ni jukwaa la kukomboa nyege, upendo, sexual pleasure, kugegedana, nk. akitaka jukwaa la kukomboa uchumi wa nchi aende jukwaa la uchumi na biashara.
 
Sure kiongozi baadala ya kuwa namna kupata maendeleo wanawava namna kuuchosha mwili na akili
 
hili ni jukwaa la mavituz, hayo ya maendeleo yana jukwaa lake la uchumi na siasa. mbona hata signature yangu imekaa kiuchumi ila huku tuongea ya chumbani. kwani kwa kuwa unawaza maendeleo utaona aibu kumvulia mumeo chuki kisa wewe ni mtu wa maendeleo na mikakati ya kuwa tajiri.au wakati ma mavituz mzee anawajibika wewe huwa husikilizii utabu bali unachukua calculator na kupiga hesabu za mapato na matumizi ya kutwa nzima

mkuu, hapa umemaliza. sidhani kama kuna mwenye swali la nyongeza tena.
 
Mungu atuhurumie! Na atuponye ktk dunia hii iliyojawa na mapepo ya ngono yanayowaingia wanadamu. Wote semeni AMINA...

hakuna AMINA WALA NDUGU YAKE JALIBU KUTAFUTA theory of new world order uangalie uko wapi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom