Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,201
Ata mi sio mywaji mkuu labda wa soda tu na maji
CC Zero IQ
Ata mi sio mywaji mkuu labda wa soda tu na maji
pole mkuuYaani hakuna kitu chenye nguvu kama mapenzi, halafu ukute mnapendana kiukweli. Tatizo ni kuweza kujua anachokiwaza mwenzio. Unaweza ukakolea na kuzama haswa lkn kumbe mwenzio anakuhadaa!!
Sitokaa nimsahau binti niliyekaa naye kwenye mahusiano miaka 3. Nilimpenda kwa moyo wangu wote. Nikamtambulisha kwa wazee! Ghafla akaanzisha ugomvi na kujifanya ameninua. Nikapenyezewa na nduguye kuwa anaolewa. Kweli mwezi haujaisha binti akafunga ndoa. Asee nikawa disappointed saana. Nikaomba likizo kazini nikaenda kujitibu majeraha ya moyo.
Siwezi mpokea nilishamove on! Afu aliolewa japo sa hv ana changamoto anazokabiliana nazoThe way unavozd kumkumbuka ndo unavodhihirisha kuwa bado unampenda na akiamua kurudi kwako waweza mpokea
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe tunga yako
Hapo ndo huwa wanajuta sasa hawa viumbe.Siwezi mpokea nilishamove on! Afu aliolewa japo sa hv ana changamoto anazokabiliana nazo
kumpata ni mpaka apande basi sasa sijui itakuje na hawataki tutume vifurushi kwa mabasi!! au nikaweke kwenye sanduku la posta??Nimekapenda kapaka niuzie mkuu
Weee miss upo ulipotelea wapi....Tafuta hela hilo utalisikia tena.pole
"They may forget what you said, but they will never forget how you made them feel.”
Wewe nakuweza Mimi, try me you will never regret....Serious mkuu,
yaani hadi mwenyewe najiona kituko,tena kbaya ukiwa Chuo hauna mtu inauma knoma ila ndo hvyo tuu no way..
huwa nahisi tatzo langu litakuwa ni nature,Hasira+Paniki..najifahamu sana asew
..Na pia kuna mda huwa najiiba nataka kuingia humo..na nikiingia sichukui 3days.
NIOMBEENI KWA KWELI
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahaaaaaPole sana mkuu Roho ngumu kuliko zote za wanawake ni kuvumilia kupewa denda na mlevi wa gongo au matapu tapu wakati wa alfajili hiyo ya kuachwa ni wewe tu hukujiongeza kutafuta spare
CC Zero IQ
Makosa uliyoyafanya ndani ya hiyo miaka mitatu ni haya.
1.Kutumia condom
2.Kuvizia safezone ndo umgegede
3.Kuchomoa sekunde chache kabla huja ejaculate
Nadhani umenielewa!!
Pole Mkuu.... But nachokiamini siku zote ni hichi ''KILA KINACHOTOKEA KATIKA MAISHA KINA SABABU NA FUNDISHO PIA'' Mungu huwenda amepanga au amekuepusha na chochote ambacho kingeweza kutokea hapo mbeleni.... Shukuru na endelea kujipa muda maana upo wakati na muda sahihi atakuja aliye sahihi na kwa wakati sahihi.....Yaani hakuna kitu chenye nguvu kama mapenzi, halafu ukute mnapendana kiukweli. Tatizo ni kuweza kujua anachokiwaza mwenzio. Unaweza ukakolea na kuzama haswa lkn kumbe mwenzio anakuhadaa!!
Sitokaa nimsahau binti niliyekaa naye kwenye mahusiano miaka 3. Nilimpenda kwa moyo wangu wote. Nikamtambulisha kwa wazee! Ghafla akaanzisha ugomvi na kujifanya ameninua. Nikapenyezewa na nduguye kuwa anaolewa. Kweli mwezi haujaisha binti akafunga ndoa. Asee nikawa disappointed saana. Nikaomba likizo kazini nikaenda kujitibu majeraha ya moyo.
hahahahWewe nakuweza Mimi, try me you will never regret....
am better here
nyau ni kampani poa sana mkimhudumia vizuri, karibu tupendane.Ni wewe eenh? Kama unapenda nyau mimi lazima nikupende tu[emoji4]
AhahahahaPole mkuu,hukufariki kweli?!
nimerudiWeee miss upo ulipotelea wapi....
am better here