Wanawake mna roho ngumu asee

Wanawake mna roho ngumu asee

Karib duniani bro. Na hao ndio wanawake. Cha msingi vumilia. Pia chukua time upone.
Mm nikishapitia huko, mtu anakutafutia sabab tu ..anaanzisha timbwili ili apate kukuacha.

Yes ilinichukua muda kuelewa .. why and how mtu unaempenda unajitolea kwake kias hiko anafanya jambo hilo.
Hutapata jib sahihi.. ila ujiwazie ww kwa sasa.


Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishapoa It's long time ago
 
Me mwenyewe enzi hizo nliumia-ga sana lakini nashukuru pamoja na kuolewa kwao bado viporo ni mwendo wa kuvipasha tu kwa kwenda mbele
Siwezi kumgegeda aliyenitosa akaenda kuolewa. Kyuma zipo nyingi saaana nitatafuta nyingine
 
weee!!
20190311_162131.jpeg
 
Hizo n spea za kichina wewe kaa nayo ukifkiri ina guaranteee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom