Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,683
- 126,472
Mimi sijambo za wewe
Mimi sijambo za wewe
Na hazikwepeki ili zitoe lesson ktk kukabiliana nazo kwa kujua madhaifu na mazuri ya mtu sahihi kabla ya ndoa na hata wakati wa kujenga familia bora kimahusiano.
Na hazikwepeki ili zitoe lesson ktk kukabiliana nazo kwa kujua madhaifu na mazuri ya mtu sahihi kabla ya ndoa na hata wakati wa kujenga familia bora kimahusiano.
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi kabisa, nakuona ktk ubora wako ukiwa Mama ushauri bora na nasaha[emoji5]Mimi sijambo za wewe
Mkuu haya mambo si ya kulazimisha sana,huwezi jua MUNGU amekuepushia na nini.......so relax muombe MUNGU then move on.....
Safi kabisa, nakuona ktk ubora wako ukiwa Mama ushauri bora na nasaha[emoji5]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mke mwenza shikamoo [emoji16][emoji16]Tafuta hela hilo utalisikia tena.pole
"They may forget what you said, but they will never forget how you made them feel.”
alafu wewe mkuu inaonyesha una roho ya hekima hekima sana+IQ nzuriSafi kabisa, nakuona ktk ubora wako ukiwa Mama ushauri bora na nasaha[emoji5]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wahenga wana msemo wao nyani haoni..Mbona hata ninyi mnafanya hivyo
Wahenga wana msemo wao nyani haoni..
Seriously[emoji15] [emoji15]Pole sana mkuu.ndio maana katika Maisha yangu sipendi kitu kinachoitwa mahusiano.Kwa sababu ninajifahamu nilivyo,Akili huwa ina change within 5 sec
Sent using Jamii Forums mobile app
Nifundishe kimombo aisee, kumbe uko njema hiviIs that something to be proud of?
Serious mkuu,
katoa ya motoni hahahahahKwahiyo?
Kupasha kiporo ni lazima tena nakipasha na moto mkali sanaMe mwenyewe enzi hizo nliumia-ga sana lakini nashukuru pamoja na kuolewa kwao bado viporo ni mwendo wa kuvipasha tu kwa kwenda mbele