Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,217
Ewaaaaa..Kundule
Ewaaaaa..Kundule
Mzigo gan mkuu,Nilijilaumu saana, lakn kwa sasa ninamshukuru MUNGU kupita maelezo, maana kuna jambo kubwa saana MUNGU aliniepusha nalo. Kumbe yule kidume alijibebesha mzigo
pole sana je wewe ulionesha nia ya kutaka kumuoa n.a. kama kweli je ulivhukua hatua?Yaani hakuna kitu chenye nguvu kama mapenzi, halafu ukute mnapendana kiukweli. Tatizo ni kuweza kujua anachokiwaza mwenzio. Unaweza ukakolea na kuzama haswa lkn kumbe mwenzio anakuhadaa!!
Sitokaa nimsahau binti niliyekaa naye kwenye mahusiano miaka 3. Nilimpenda kwa moyo wangu wote. Nikamtambulisha kwa wazee! Ghafla akaanzisha ugomvi na kujifanya ameninua. Nikapenyezewa na nduguye kuwa anaolewa. Kweli mwezi haujaisha binti akafunga ndoa. Asee nikawa disappointed saana. Nikaomba likizo kazini nikaenda kujitibu majeraha ya moyo.
Unataka nani amalizie sasa[emoji16][emoji16]Wahenga wana msemo wao nyani haoni..
Eti wanawake wana roho mgumu[emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23]mbalizi bwanaSana yaani ni taamu na inanoga kinoma noma- wakati mwingine hadi anasema baba nanliu haniTomb@G! utamu utamu kama hivi
Huyu nyau tu[emoji7]
Naomba nilisitiri hili kwa sasaMzigo gan mkuu,
Sent from Nokia 7 Plus
Sawa, na wewe tunga
Wanawake ni katili saana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wenyewe wamejisahau
Ninamshukuru MUNGU maana ameniepushia jambo! Namsikitikia yule bro, alijiona mjanja kumbe kabeba mzigo ambao haukuwa wakeMkuu haya mambo si ya kulazimisha sana,huwezi jua MUNGU amekuepushia na nini.......so relax muombe MUNGU then move on.....
Na nyinyi ni makatili pia tena sana tu ila mnapendaga kuact as victims kila mnapotendwa mnasahau mliokuwa mnayatenda smdfh[emoji19]Wanawake ni katili saana
We jamaa utakuwa mleviPole sana mkuu Roho ngumu kuliko zote za wanawake ni kuvumilia kupewa denda na mlevi wa gongo au matapu tapu wakati wa alfajili hiyo ya kuachwa ni wewe tu hukujiongeza kutafuta spare
CC Zero IQ
Pole mkuu,walikufunga POP au walikushona nyuzi?Yaani hakuna kitu chenye nguvu kama mapenzi, halafu ukute mnapendana kiukweli. Tatizo ni kuweza kujua anachokiwaza mwenzio. Unaweza ukakolea na kuzama haswa lkn kumbe mwenzio anakuhadaa!!
Sitokaa nimsahau binti niliyekaa naye kwenye mahusiano miaka 3. Nilimpenda kwa moyo wangu wote. Nikamtambulisha kwa wazee! Ghafla akaanzisha ugomvi na kujifanya ameninua. Nikapenyezewa na nduguye kuwa anaolewa. Kweli mwezi haujaisha binti akafunga ndoa. Asee nikawa disappointed saana. Nikaomba likizo kazini nikaenda kujitibu majeraha ya moyo.
The way unavozd kumkumbuka ndo unavodhihirisha kuwa bado unampenda na akiamua kurudi kwako waweza mpokeaMkuu, hii story ni ya 2015, leo ni kumbukizi tu hapa jukwaani
HahahaMe mwenyewe enzi hizo nliumia-ga sana lakini nashukuru pamoja na kuolewa kwao bado viporo ni mwendo wa kuvipasha tu kwa kwenda mbele