Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,329
- 144,782
Heheheeee eti kanuka kwapa[emoji23][emoji23]
Tupo tunaokupenda bana,,halaf kinyume cha kuchukia ni kupenda kua macho ni kinyume chake hichooooI mean...kajitu kila sehemu kanajifanya eti kananichukia.
Kanatumia nishati nyingi kweli kuutanabahisha umma wa JF kuwa hakanipendi. Matumizi ya nishati nyingi kutokunipenda mimi lazima yakutoe kijasho cha kwapa.
Eti hakanipendi...😀. Ala! Mi ndo nakapenda?
Ain't no one losing sleep over a riffraff...😀😀😀.
ahaaaaa ni wachache sana wanaomfanana john image take ni akina the great mungu ampumuzishe kwa amaniKwa kweli wanaume hawa sijui wana nini yaani ukiwaangalia tu lazima wakuvutie, baada ya kuona siwezi kummiliki John Dumelo ilibidi nimtafute angalau anaefanana nae ili niwe nijifariji
We Venossa wewe.... khaa!Wallah kunawanaume mungu kawapendelea jmn,yaan wanamvuto balaa mpk ukilala unavuta hisia km vile ungekua nae.BTW hata humu kuna wanaume ukisoma michangoyao unataman uwenae.lakin ndo.....
NEnda kaamke hayo maneno mbele ya mtu wakonampenda Huyo William levy na jamani lloohh!.John Dumelo nae sasaa!!mwaaaa
Afadhali. Maana wivu ungeniuaDumelo Dumelo akiwa kwa muvi lazima niiangalie, pia napenda anavyorusha links za maisha ya mahaba.
Niliwahi kumuona pia mji fulani.
Anavutia kweli, bali sijafikia kumtamani kuwa nae kitandani.
BTW hata humu kuna wanaume ukisoma michangoyao unataman uwenae.lakin ndo.....
Probably that's will be me[emoji2]Yani unauliza kwanini tunawapenda ilhali picha unazo?
Ila mimi niko tofauti sana katika vigezo vya kumpenda mwanaume.
Kigezo changu kikuu ni IQ...napenda wanaume wenye akili kubwa...tena sana.
Akiwa na akili tu kwangu keshachukua 50%...
Vingine vitafuatia.
Kwa kigezo hiki kuna mtu mmoja anacho humu...aiseee namzimia sana.
Bahati mbaya siwezi kumtaja [emoji30][emoji30][emoji22]
Teh teh teh babu umejuaje kwamba ni wewe?We Venossa wewe.... khaa!
I love you too
Sema hakyamungu...ahaaaaa ni wachache sana wanaomfanana john image take ni akina the great mungu ampumuzishe kwa amani
Kamchuchu kameniPM kunifahamisha.[emoji12] [emoji12] [emoji12]Teh teh teh babu umejuaje kwamba ni wewe?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kamchuchu kameniPM kunifahamisha.[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mkuu jaribu kutofautisha tafiti na story shogaDifferent strokes for different folks...
Ain't different women want different things?
anajua sana km mie mpenzi wa hao watu!NEnda kaamke hayo maneno mbele ya mtu wako
Nikimtaja nitasababisha taharuki kubwa...nami sitaki iwe hivyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna atakayeweza kumjua aiseee
Hahahahaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapo kwenye list muongeze na Le mutuz