KARANJA 007
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,990
- 2,521
Wewe mtoto wewe?ujue nakufuatilia kiulainiiiiiii,maana comment zako ni superb.Me yote 9, kumi ni ile style yao wakivaa mashati/ masweta (haswa William) afu wanayavuta/kuyakunja hadi kwenye pande za kiwiko hivi. Yani nafwarikiz kabisaaz (kameshakuwa ka ugonjwa haka nahisi lol) [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Haya Ngabu ila jua basi unaporusha punch zako huyu ni mtoto wa kike tu ,kuchapwa kwake ni kwa kanga tu sio unapiga kama kifaruHapana, siyachukulii kwa uzito kihivyo na ndo maana hata siku ile uliona nilikapuuza tu hako kadada kako.
Uliona kuwa nilimjibu licha ya kunitaja taja? Sidhani.
But sometimes you have to put suckers in their place.
Kajitu kanajipinda mara zote kuwaambia watu eti hakanipendi....hakanipendi kananijua?
Afanaaaaaleyk,albugudha wabughududu sududuuuu,almarghany nyambat kongowiaaaa.Dumelo Dumelo akiwa kwa muvi lazima niiangalie, pia napenda anavyorusha links za maisha ya mahaba.
Niliwahi kumuona pia mji fulani.
Anavutia kweli, bali sijafikia kumtamani kuwa nae kitandani.
Freema mambo?Mtaje mtaje kijana huyo. Taharuki ngapi zimeshazuka humu, ije kua ya your wishes, wishful thinking?
Ooh ahsanteWewe mtoto wewe?ujue nakufuatilia kiulainiiiiiii,maana comment zako ni superb.
Hahaa, unanikumbusha dem wangu mmoja alkua na hako kaugonjwa ka kukunja shati, yaani tukienda mahali anataka nivae shati la mikono mirefu afu nikunje,yani unaweza ukanikuta nasmile tu peke yangu, kumbe ni mkaka kapita kakunja shati vizuriiiiii (ila inategemea na size, sio mtu anavaa shati 6 metres eti na yeye analikunja akhuuuuuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] )
Hi Freema,i hope you are doing fine.Wazabe vibao daadeki, wenye wivu wajinyonge. Acha woga, YOLO.
Hahaha ukute me ndo huyo rafiki ake. Honestly huwa nakosheka roho mnooooHahaa, unanikumbusha dem wangu mmoja alkua na hako kaugonjwa ka kukunja shati, yaani tukienda mahali anataka nivae shati la mikono mirefu afu nikunje,
Sasa balaa likaja mwanachuo mwenzie nae ana kaugonjwa ka ka kwake, cku akamwambia "yaan nikiona mkaka kakunja shati namtamani hd sa ingine pichu inaloa" nkashangaa napigwa marufuku kutia timu chuo, baadaee ndio akaja kuniambia sababu, nlicheka sana aiseee.
Cjui wewe ulkua wangu au ndio rafikie!! Natania tuu lakini [emoji3] [emoji3]
Na kweli we ni heaven sent mamii.Ooh ahsante
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Na kweli we ni heaven sent mamii.
Ndio nlikua nawaza hapa tuu, wee nani kati yao, [emoji4] [emoji4]Hahaha ukute me ndo huyo rafiki ake. Honestly huwa nakosheka roho mnoooo
Hahaha sio ex wako banaNdio nlikua nawaza hapa tuu, wee nani kati yao, [emoji4] [emoji4]
Hahaaa, huku mafichoni banaa.Hahaha sio ex wako bana
Hapana pia, according to your storyHahaaa, huku mafichoni banaa.
Basi utakua rafkie mtu eeh!!
Poa,Hapana pia, according to your story
Hahaha "vimodo" on fleeekPoa,
Mtaku kundi moja la wapenda wakaka wakunja mashati ya kimodo.
Hahaa, Mnapenda vimodo eeh!!Hahaha "vimodo" on fleeek
MambozBasi ntakua Mimi tuuu
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Hahaa, Mnapenda vimodo eeh!!