Wanawake mna nini na hii kitu?

Wanawake mna nini na hii kitu?

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,914
Nimethibitisha mimi nimeshuhudia kwa jamaa na rafiki zangu na nimesikia pia ikitokea

Ukiwa unamsifia mwanamke mara nyingi uwezavyo kwa sifa za kutosha na zenye mashiko basi unakuja "kumbanjua"

Kwanini lakini?

Inamaana mnapenda sana sifa au ni kitu gani?

Nimekosa jibu baada ya kujiuliza hili swali kwa miaka zaid ya 6 sasa

Mnaweza kunijibu hapa ili nikamilishe nilichokuwa nataka kujua?

Hebu jaribuni kunijibu ..!!
 
Yani hizo sifa zinakuwajekuwaje bado sijaelewa! Yan from nowhere unakutana na mtu anakusifia umependeza afu baada ya hapo mnaenda kubanjuka ama??
 
Duh!! Hii thread ni ya wanawake tu. Ngoja waje kukujibu mkuu. Ila kama kweli unafanya utafiti ungetumia anonymous sample nafikiri hata wanaume wenye kujua jibu la swali hili (may be walishafanya research) wangekusaidia majibu. Pia kwa kukusaidia tu, jaribu kufafanua unamaanisha sifa zipi. Je ukimsifia kuwa ni mchapakazi, mrefu, mchangamfu au mweusi sana? Fafanua mkuu

Asante. Nawasilisha
 
Aaaaaaaaa wapi SIPIGWI FREE P HATA SIKU MOJA SABABU YA SIFA ZA KIJINGA!

Ukiona unambanjua mwanamke ni coz amefika bei kwako, na kardhika na viwango vyako wala sio sifa ulizotoa, ilikuwa kwenye plan tu ukitaka upewe!
 
Mi mwenyewe sijui ila kusifiwa kuna nifanya nakuwa comfortable sasa ikitokea na anayetoa sifa ana vigezo vingine Mf. mrefu, intelligent& brave, humble, hardworking, self displine etc etc najikuta na fall in love!
 
Tunapenda kutumia muda mwingi kupendeza,uki appreciate hizo effort tunajiskia vizuri hence.........mazingira yakiruhusu.,
 
Yani hizo sifa zinakuwajekuwaje bado sijaelewa! Yan from nowhere unakutana na mtu anakusifia umependeza afu baada ya hapo mnaenda kubanjuka ama??

Ni kweli hujaelewa au unajitoa akili?
 
Aaaaaaaaa wapi SIPIGWI FREE P HATA SIKU MOJA SABABU YA SIFA ZA KIJINGA!

Ukiona unambanjua mwanamke ni coz amefika bei kwako, na kardhika na viwango vyako wala sio sifa ulizotoa, ilikuwa kwenye plan tu ukitaka upewe!

Maninaaaaaaa ...........

Umenichekesha hadi machozi

Kwamba hupigwi P free hata kama umefika kwa jamaa?

Haya bana lakini ukweli ndio huo!
 
Mi mwenyewe sijui ila kusifiwa kuna nifanya nakuwa comfortable sasa ikitokea na anayetoa sifa ana vigezo vingine Mf. mrefu, intelligent& brave, humble, hardworking, self displine etc etc najikuta na fall in love!

kwa hiyo nikiwa na sifa hizo uwezekano wa kukupata upo?
 
Duh!! Hii thread ni ya wanawake tu. Ngoja waje kukujibu mkuu. Ila kama kweli unafanya utafiti ungetumia anonymous sample nafikiri hata wanaume wenye kujua jibu la swali hili (may be walishafanya research) wangekusaidia majibu. Pia kwa kukusaidia tu, jaribu kufafanua unamaanisha sifa zipi. Je ukimsifia kuwa ni mchapakazi, mrefu, mchangamfu au mweusi sana? Fafanua mkuu

Asante. Nawasilisha
Wanaojua maana ya sifa wanajua ninachoongelea

Lakini pia sio sifa ilmradi sifa na nimesema kwenye mada ni sifa gani hizo!
 
Kuna Vingi tunaangalia kabla ya kukubali kubanjuka,si sifa pekee!!
Ila hizi tafiti zako hizi!!!
 
Back
Top Bottom