kuna jamaa mmoja ni ticha bush huko yaani nasikia hadi huwa analala na suruali kabisa maana akijisahau tu imekula kwake...wife wake ni noma hata akienda kukojoa usiku anaenda na kila kilicho chakeUkizungusha round bar sawa ila zikichukuliwa na mkeo inauma!!!
Kwani wewe na mkeo kila mtu ana hela zake?
Wewe utachomolewa sana tu!!!inauma sana Ennie,,,,mambo ya bar mambo ya kiume,,,kaa mbali nayo sana.
Ukute huyo kila mkewe akiomba pesa anasingizia malimbikizo hayajatoka huku analewa daily,akikosea kidogo unakung'uta suruali yote uone atakavyorudi saa 9 wiki nzima!!!kuna jamaa mmoja ni ticha bush huko yaani nasikia hadi huwa analala na suruali kabisa maana akijisahau tu imekula kwake...wife wake ni noma hata akienda kukojoa usiku anaenda na kila kilicho chake
ila jamaa ni cha pombe balaa so mi naona wife wake yupo sawa
Wakati huo, we unakula nyama au..??Wewe utachomolewa sana tu!!!
Yaani wife anakuna kichwa ku budget 5000 wakati mfuko wako una laki 3 unatunza ukajenge heshima bar! Nisipokuchomolea nitakulisha dagaa mpaka wasimame tumboni!!!!
saa 9 usiku au..??Ukute huyo kila mkewe akiomba pesa anasingizia malimbikizo hayajatoka huku analewa daily,akikosea kidogo unakung'uta suruali yote uone atakavyorudi saa 9 wiki nzima!!!
Wakati huo, we unakula nyama au..??
saa 9 usiku au..??
Ofkoz kila mtu na hela yake,,mke wangu hajawahi kunipa hela ya dompo hata siku moja.....sasa mambo ya kuchomolewa kwenye wallet si ndo kuharibiana bajeti huko?
Mi na wanangu nyama daily,kwani hizo beer anashushia na matembele huko bar? Ye shea yake ya nyama bar,nyumbani dagaa