Wanawake mkome kutusingizia mimba

Wanawake mkome kutusingizia mimba

Kaona uhakika wa kulea mimba unao so usimtenge mwezie msaidie kama alivyokusaidia shida yako
 
Ushaambiwa walitafuta usafiri,hapo huwenda tax au boda iliwapeleka tu ikawaacha sasa jombii unakimbilia kuona watu waongo,haya tupe ukweli wako ww! Mijitu mingine kama imelogwa yani.
Hahahaaha
 
Bora kusingiziwa mimba utafanya manuva/makeke huku na huko kama ulivyofanya maisha yatasonga, niliwahi kusingiziwa UKIMWI nilijihisi ninao, nilikimbiwa na jinsia zote kama nimejipaka choo. Nilikosa amani japo nilijijua nipo salama.
 
Kulea hakuna shida ila kulea asiye wako ndio shida, atakapojitokeza baba wa mtoto halisi anadai mwanae huku akijinadi kwa tambwe kuwa ni mwanae, huku na wewe pia ukijua sio wako.

Hizo fedheha uko tayari nazo mkuu?
Kumkataa demu kisa kadungwa mimba na njemba mwingine huo ni ushamba na kujipa stress za bure.

Mwanamme halisi hulea bila kujali kama ni mimba yake au la!

Nasisitiza kuwa hamna shida.
 
Kumkataa demu kisa kadungwa mimba na njemba mwingine huo ni ushamba na kujipa stress za bure.

Mwanamme halisi hulea bila kujali kama ni mimba yake au la!

Nasisitiza kuwa hamna shida.
Labda kwako ni sawa lakini kwangu hapana maana binadamu tunatofautiana mtazamo.
 
Back
Top Bottom