Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,711
- 81,938
Gari bovu huvutwa na gari zima.
Ndio hiv hivi mtu anakula chuma, hawa viumbe hawana logic kabisa halaf wakisha pigwa tukio wanataka huruma kwa jamii.Halafu mtu aache kupigwa risasi?
They don't wanna do 50/50 until it comes to divorceWanapenda haki kweli, ila wajibu sasa...
Hili unalosema ndy uhalisia wa mambo. Mwanamke akikuona una akili tu au umeanza kuzipata hizo akili ataanza kutafuta namna ya kukufukuza kwenye maisha yake.Adui mkubwa wa mwanamke ni mwanaume mwenye akili..
Akishaanza kukuona kama unaboa that means you're not easy to be manipulated.Hili unalosema ndy uhalisia wa mambo. Mwanamke akikuona una akili tu au umeanza kuzipata hizo akili ataanza kutafuta namna ya kukufukuza kwenye maisha yake.
Na huu ndy uhalisia ulivyoAkishaanza kukuona kama unaboa that means you're not easy to be manipulated.
Yani ni maajabu sanaKwanza akome kumuita huyo mume wake maana waliachana miaka minne imepita
Kila siku mafwele atapata kazi za kufanya badala ya kufikishwa mahakamani yeyeHalafu mtu aache kupigwa risasi?