Wanawake, Mkijipodoa sana mnatutisha... Ebo!

Wanawake, Mkijipodoa sana mnatutisha... Ebo!

Dah...enough jamani.....wapeni break

Thaaanx kaka kwa kuliona hili maana..kila kukicha mwanamke hiki mwanamke kileee....its too much kama vile hamjamtoka kwenye matumbo ya wanawake...??!!@kibo10
 
Haya sasa....
Baadae mtakuja kutukataza hata kubeba mikoba.
 
Sio lazima lakini mnapoelezwa punguzeni Omo!
Hivi unadhani kila unaloongea ni sahihi???
ukikosea ukosolewe vipi?
Nyinyi ndio wale kila aliefanikiwa ni freemanson wakati ukiulizwa freemanson ni nini utajibu ni umalaya
Endelea na fikra zako
 
Fikira zako ni sababu umekulia na malaya, so usije hapa kusema hivyo bora ungeuliza na ungepata majibu mengi ya y unakuwa hivyo.
 
Hii wiki na wanawake
Lakini,we unadhurika nini na kujiremba kwao? Wanakuomba Hela ya hizo perfyum a vipodozi?
 
Si bure......unanyekenywa

Tatizo hili limekithiri katika jamii yetu na sasa limekuwa ni jambo la kawaida kwa baadhi ya wanawake au kwa maana nyingine wamefanya kuwa ni utamaduni wa kisasa (kwenda na wakati)

Tabia hii mbaya huathiri kwa kiasi kikubwa baadhi ya familia hasa ikiwa mwanamke yuko ndani ya ndoa na amefanikiwa kupata Watoto.
Vitoto vinaanza kumwiga mama wanapomwona yupo kwenye gari bize kwa kujipodoa nao wataanza kujipodoa wakiwa hata shuleni ni ujinga fanyieni haya mambo sehemu stail.
Ukweli unauma!!!
 
Kujipodoaaaa Sio Umalaya aiseeee..Dah

Nimesema kujipodoa hovyo hovyo bila kujali mahali ni dalili za umalaya
Maana dunia nzima malaya ndio ujipodoa hovyo hovyo
Ila sikusema kujipodoa ni umalaya muwe waelewa sio mnarukaruka tu!
 
Nimesema kujipodoa hovyo hovyo bila kujali mahali ni dalili za umalaya
Maana dunia nzima malaya ndio ujipodoa hovyo hovyo
Ila sikusema kujipodoa ni umalaya muwe waelewa sio mnarukaruka tu!

napenda vile unavyosimamia kile unachokiamini kuwa sawa.
 
Back
Top Bottom