Dahafrazeril
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 1,500
- 2,060
Hongera sana binti, Bikira.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Nawaalika mabikra wote tuliopo MMU tukutane hapa tupeane uzoefu, lengo kubadirishana mbinu zilizotusaidia kuutunza usichana wetu mpaka Leo hii.
Binafsi nilifanikiwa kuutunza usichana wangu kwa kuzingatia maagizo ya wazazi wangu, pamoja na hilo pia nili nia kuto kumkubalia mwanaume yoyote atakaye nitaka kimapenzi.
Changamoto nilizokutana nazo kwa uamuzi huo ni nyingi sana , wasichana wenzangu walinicheka na kuniambia nakosa raha duniani.
wavulana walifka mahali wakawa wana niogopa sana kutokana na majibu yangu.
Nilitengwa ktk mambo kadhaa na walio kuwa rafiki zangu.
Nilionekana kama mwanamke asiye na hisia ...na mengine mengi tu lkn hayakuni yumbisha.
Nafurahia maamuzi yangu sijawahi kuyajutia kamwe.
Na nitaendelea na msimamo wangu mpaka nitakapo funga ndoa...
Karibuni
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]We tupo wengi.
Hahahaaa. Labda kasahauWewe una Matatizo ya kisaikolojia..
Ameamua kuniacha bila sababu sasa anataka tuuze nyumba tugawane pesa
.
Husband is needed here hebu tafuta kazi ya kufanya ufanye. Nyuzi zako mara bikra, mara utafuta mume, mara bf anataka kuuza nyumba mliojenga una shida gani?
Unajizuia vipi unapopata msisimko wa kufanya mapenzi????please don't lie us kwamba husikiagi hamu ya kufanya mapenziKama kichwa cha habari kinavyojieleza
Nawaalika mabikra wote tuliopo MMU tukutane hapa tupeane uzoefu, lengo kubadirishana mbinu zilizotusaidia kuutunza usichana wetu mpaka Leo hii.
Binafsi nilifanikiwa kuutunza usichana wangu kwa kuzingatia maagizo ya wazazi wangu, pamoja na hilo pia nili nia kuto kumkubalia mwanaume yoyote atakaye nitaka kimapenzi.
Changamoto nilizokutana nazo kwa uamuzi huo ni nyingi sana , wasichana wenzangu walinicheka na kuniambia nakosa raha duniani.
wavulana walifka mahali wakawa wana niogopa sana kutokana na majibu yangu.
Nilitengwa ktk mambo kadhaa na walio kuwa rafiki zangu.
Nilionekana kama mwanamke asiye na hisia ...na mengine mengi tu lkn hayakuni yumbisha.
Nafurahia maamuzi yangu sijawahi kuyajutia kamwe.
Na nitaendelea na msimamo wangu mpaka nitakapo funga ndoa...
Karibuni
Asante mama[emoji12][emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Sanaaa, ila nimeyashinda yote.Kwa kweli, ingawa majaribu ni mengi mno...
Hivi huwa kuna washenga wa kike?Kagonvi wewe!,...LOL!
[emoji2] [emoji2] [emoji2]We bikra mbona hujibu pm zanguu
Au zipo nyingi yangu haijafikiwa
Anataka thifa mwenzio kwa wanaume wa jf nao wajueeShake well before use ...Ukipata mwanaume haja fanya hicho kitu mpaka anakuoa bac na yeye kajitunza mpaka 40yrs
Nataka niombe ushenga hapo kwa jirani.I think so, vipi kuna kazi?