Wanawake mabikra tukutane hapa

Wanawake mabikra tukutane hapa

Umenikaribisha kwenye uzi au PM...humu bikra nae mjua ni miss chaga tuuu wengine wote fake tupu
 
hongera mwaya...ila bikra sio ujanja karne ya sasa sababu kuna bikra za kichina..
wengine tulipenda kuwa nazo but mazingira hatarishi yalifanya tuzipoteze..
licha ya kutokuwa nazo tunaolewa na ndoa zenye furaha tele
pia usiishi maisha kwa kukariri...yan fair tales unawaza ""nkiwa bado na bikra yangu..nampata kijana mwenzangu mzurii sana..ananioa..tunaishi raha mustarehe maisha mazur...mme wangu ananipenda sana.....

haiko hivo..unaweza uolewe bikra na ndoa uione chungu..mwanaume kaahakipata alichokifuata na mimba kakubebesha hlf ye yuko nize na vibint vya sekondary....uaikariri shouga.

pia ushauri wa bure kwako..usimwambie mwanaume kwamba wewe ni bikra..
mwanaume yupo tayari kufanya lolote ili aipate..na akishaipata ndo baas!!!
mfanyie surprise.

na wanaume wa kusubir hadi ndoa siku hizi mayb utawapata..watoto wa mjini hawakubali kuuziwa mbuzi ndani ya gunia..
kama hujui muulize nyantumba na bikra yake anavopata tabu

kila la heri katika kujibu pm!
Pole imekuuma kias
 
Lakini mbona wasio bikra wamepaniki kiasi hicho, naamini wengi mliridhia jamaa wazichomoe. Hata hivyo, kwa umri huo bila bila mmmh.

Huyu galatia nae, unaweza kuwa bikra lakini attitude mbovu, tabia mbovu, ni bure tu.
 
Weeeeee acha utani😛😛 nitazimia hapa sasa hivi😀😀 shinda kwenye nyumba za ibada labda ndo utapata mwanaume atakaekuelewa lasivo hiyo bikra soon itatoka kama ni kweli unayo
 
Lakini mbona wasio bikra wamepaniki kiasi hicho, naamini wengi mliridhia jamaa wazichomoe. Hata hivyo, kwa umri huo bila bila mmmh.

Huyu galatia nae, unaweza kuwa bikra lakini attitude mbovu, tabia mbovu, ni bure tu.
Waliozipoteza std 3 wamepovuka balaa
 
Back
Top Bottom