Wanawake mabikra tukutane hapa

Haya mama nitunzie......
 
Bikra akikomaa sana myaka 22 apo ataolewa ata na ndugu asa ya huyu atakua hana uadilifu husika ndomana apati mume
 
hahahahaaa endelea kunitunzia mama.........mi nakula ndogondogo huku maana c unajua tena
 
Nina 29 sasa
Duuuh bado hujaolewa tuu, nahisi huwa upo serious sana kiasi kwamba wanaume wanakuogopa kama ulivyosema, mwanamke akiwa serious sana ss wanaume huwa tunaamin kwamba huyu ukimuweka ndani ya nyumba inaweza ikawa ni balaa ndani fulu kupelekana kijeshi, chamsingi jarib kupunguza userious na kuwa charming kwetu, sema likija suala kutoa utam kuwa muwazi tu, kama mtu anakupenda akuoe tuu, sema wanaume wengi siku hixi hupenda kuonja wengi huogopa kuuziwa mbuzi kwenye gunia, hata hivyo inaweza ukaea unatatizo kwenye homone zako aisee, maana kama mpaka umri huo hujonja dudu na upo vizur tuu kipsychologia mmm, wengi huonekana kama mapunguani kama genye zikizidi, all in all hongera kwa kujitunza kama ni kwel
 
Virginity is not something you parade or solicit publicly to the society. Virginity is more than keeping your hymen intact until after marriage.

Virginity is a well guarded secret and a gift to your husband upon marriage.

Now when you hold it like a trophy for the world to see am left to wonder. Are you serious?

Cc
Raimundo
mahondaw
 
kwanini hutaki kuamini kama yeye ni bikra? ukweli wa mwili wake anaujua mwenyewe!! mushauri amtunzie tu mmewe
sawa..kuamini ama kutoamini hainihusu.ukweli anajua mwenyewe.
lakini kwanini anajitangaza hadharani..unajua huyu bibie kuna watu wanamjua hapa jf ila wanamstahi tu?
hivi wewe ngekua na dadako bikra halafu kila atapopita mtaan anajitangaza utsjiskiaje?utamfikiriaje?ni swala linalohitaji usiri..kama vile kiungo chako cha siri unavyokiweka siri yako..nayo bikra iko humohumo ibaki siri na muumba na mume..au anaweza kutangaza uchi wale ukoje..ki**mi chake kina urefu gani kama anavotangaza bikra?
 
Network Searching.............................................
 

Kwenda huko kadanganye watoto
 
Huu uzi umejaa haraka!!!
Kwa sababu dadaa anajaribu kutudanganya! Na mala zote amino nakwambia wenye nacho huwa hawana matangazo sana! Huyu anajaribu kuwatega vijana .
 
Asante mkuu
 
Mimi uwa najua bikra mwisho darasa la saba kumbe adi watu wazima wanazo hongera sana ila mtakuwa wachache sana hapa tanzania
 

There are cases where one has to publicize it probably on sale, need people to bid and the highest bidder takes it.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…