Mwanakulipata
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 718
- 1,203
Anatia mkosi ridhkiAkikuchukia kuna kitu kinapungua kwako...!?
MmhhAnatia mkosi ridhki
Unajua bhna sio kila mwanaume anapenda kuchezea hisia za mwanamke kuna sisi wengine tumembwa na roho ya huruma, kuliko kuchezea hisia za mtu ni heri umwambie ukweli tu kama haupendi ili kuepusha kupotezeana muda
Hili ni kosa kwa mwanamke ukimwambia kama humtaki/humpendi atakuchukia milele. Sasa sijui hawa ndugu zetu wanapenda kuchezewa
Sijui shida nini muwage waelewa tunawaepusha na mabalaa huko mbeleni
Kwaiyo ni heri ukadanganywa upotezewe muda?Umenikataa nikuchekee.sorry we can't be friends kabisa...unafiki mbaya.
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Sasa hapo kwenye kutembea ndo baadae akigundua anakuchukia[emoji23]Mwanaume uliekamilika unaanzaje kukataa demu ...............piga tembea
Ndugu yangu nimedharirika juzi...kuna mwanadada nilimwambiaga ukweli tu..mwaka jana mwanzoni..then tukapotezana...juzi nimekutana nae maeneo flani nikaona nimchangamkie nimpe salam peaceful.. Kilichonikuta[emoji23]Aiseee Pole sana kama yamekukuta mkuu.
//Make Tanzania Happy Again....Mikumi TENA.
Hapa ndo mnaponishangazaga wanawake...mnaomuona bora mwanaume anayewachezea na kupotezea muda..kuliko yule anaewaambia ukweli na kuepusha na mfadhaiko...aiseeSasa umenikataa nikuchekee ili iwe nini, si bora hata nimekuchunia ilitakiwa tukikutana nikumwagie mchanga...
Mkuu kuna watu wanaroho ngumu..unampotezea kimya kimya ila yeye ndo kama unachochea...sasa nikaona kuliko kumpotezea muda bora nimwambie tu ukweli...kumbe ni kosa bhna..Umekosea chief.....hawa viumbe hawaachwi hivo...
Yaan we mpotezee kimya kimya tu!!
Na hata ikitokea umekutana nae we piga nae story!!!!
Kuna siku waweza mkumbuka....na ukaweka fresh tuu!!!!
Mnatuangusha sana vijana siku hizi:
Mbona wao wanatukataa na si frsh tunaishi...kwanini tudhurumu nafsi chief..Mtoa mada una roho ya kikatili mno