Wanawake kwanini mnawaogopa House girls?

Wanawake kwanini mnawaogopa House girls?

Yaani kwa jinsi wanaume mlivyokua siku hzi unahama chumban kwako unahamia kwa dada hamuon kaz kuzulisha akina dulla kichwa waz nyumba nzima
 
Ila kusema ukweli mabeki tatu ni watamu nyie asikwambie mtu aisee

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Habari wandugu..
Nakumbuka miaka ya nyuma familia kuwa na House girl ilikuwa dili sana. Yaani unakuta kila nyumba wana msichana wa kazi (Dada wa kazi) Lakini imekuwa tofauti kwa miaka ya hivi karibuni, tatizo nini?

Mkasa wenyewe ni Hivi
Tulikuwa tunapiga story na baadhi ya wadada/wanawake hapa kazini kwetu. Katika story mbili tatu nikaingizia kuhusu wadada wa kazi basi walianza kutoka povu balaa.

Kila mmoja alimaliza maneno kwa kuwatukana hawa ndugu zetu wanaotusaidia kazi. Nikajiuliza kwa nini miaka hii wadada wa kazi wanakuwa kama maadui zetu?

critical thinker
dfrf%5B1%5D.JPG


Post sent using JamiiForums mobile app
 
Nilipataga dada wa kazi mchawi!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kama hiyo avatar ndiyo wewe basi usihofu wala kuogopa endelea vivyo hivyo utapata unachokitafuta.

Tatizo, kwa housegirl watu wengi wanachenjua makinikia bila vikwazo.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom