Wanawake, kwanini mnapenda kusahau chupi bafuni?

Wanawake, kwanini mnapenda kusahau chupi bafuni?

Jibu ni rahisi sana, acha ngono, oa.

Nilicho gundua haunaa akili na utakuwa hujielewi sasa basi sipo tayari kubishana na wew na spo tayri unihalibie cku yang kwa upuuzi uloandika wala kugombna na wew kam unahis huna cha huongea pita kimya kimya acha unyakumela
 
Nguo za ndani zinahitajika kupata jua. Ila vijidudu vife.... Au zipigwe pasi. Njia rahisi ilikuwa ni kuzishindisha juani. Nina wasiwasi na hao wanaoanika bafuni..... Inakuaje hapo.
 
Back
Top Bottom