Wanawake kwanini mnalazimisha Tuwadanganye!!?

Wanawake kwanini mnalazimisha Tuwadanganye!!?

Mjibu sasa hihi mwambie bado ni mapema kutoa jibu sahii kwamaana ndio tumeanza uhusiano .
unaguna nini???
Acha kuweweseka wewe ni mwanaume labda uwe naye mwaka mmoja sasa huo mwaka mzima unamtumia msichana au mdada wawatu huna lengo naye hata wewe ni kilaza.
ndio maan mkifikisha miezi sita mnaanza kuchunwa hamjitambui mnataka nini mkifikia Huo muda.
wanawake wasasa asilimia nyingi hawataki kuchezewa akiona kuwa unamzingua naye anakuzingua kabisa aa nawanajua mnawachezea kama nyie mnadai wajanja.
 
Mkwara gani...mwanamke yoyote hapa duniani Hana nguvu yakumtia mkwara mwanaume...wanawake wamejaaa kibao unaleta maringo Tena. Kusaka hela kutupe stress pia na papuchi zao zitupe stress...Hilo haliwezekani
Sasa mbona mkiachwa mnalia lia na kulalamika humu kama wanawake wapo wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke anachezewaje?
Utamu yeye hapati au anakuwa kawekwa mezani anachezewa kama mwanasesele?
 
Unajua kunitumia Mimi kama sample....itakugharimu sana.

Na hivi umeshasema haipendezi...
Fanya kwa mwingine kimya kimya .....
Itanigharimu nini, ...okay nikifanikiwa nitaleta mrejesho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom