Edo kissy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 4,025
- 10,488
🤣🤣🤣🤣huyu ametishaaa taarabu🔥Tunaweka ulinzi shirikishi!
Kuna mmoja aliacha khanga kwa mwanaume, sasa demu wake alivyokuja akamuuliza hii khanga ya nani?
Jamaa akajibu, “Ya kwangu navaa nikiwa nasikiliza taarabu” 🤣🤣🤣



