Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,263
- 49,203
😀😀😀A
Akhera madukani wanasemaje mkuu😁😁😁
😀😀😀A
Akhera madukani wanasemaje mkuu😁😁😁
Usipigwe vizinga we nani?!😂 punguzeni vizinga
Na hamtokaa muwe nazo kweli😅Usipigwe vizinga we nani?!
Wanawake wote wa Tz hatunaga pesa 😂😂
😂😂😂Na hamtokaa muwe nazo kweli😅
Alikuweza [emoji2][emoji2]Yule dada alikuja na picha mbili za ukutani moja alibandika sebulen nyingine akaweka chumbani. Ya sebuleni ilikuwa ya fremu ya chumbani ilikua ukutani yaani ukiibandua inachanika.
Yule ni mke kasoro tu kuofficialize.Swali ni kwamba kwanini anaacha nguo ilhali hujamuoa?