Wanawake Kwa Vituko, mie simo hapoo

kuimba kwaya ni kazi ngumu kweli, naona kila mmoja anajitahidi kuliweka koo lake sawa!

lol!kwaya gani hii yaimbwa vifua wazi!au ndo sare yao!what a uniform!natamani nijue na sauti ya tatu wamevaa sare gani!
 
Kumbe macho yangu hayana makengeza! Nami nilikuwa najiuliza mbona kama wako labour?

angalia picha ya pili mstari wa kati (3) utajifungulia kinyumenyume /mgongo juu hata km ni labour za operation za siku hizi NO
Hapo ni CHUMA CHIKALI KUMOTO ndio unaweza sikia chorus tena sauti ya pili na ya tatu

 
raaaaahaaa utamuuuu, kudadeki apo unaambiwa ata ukimkata kwa kisu, iwe umchome sindano hasikiii ianchojua ni utamuuuuuu rahaaaaa utammm ranhhh mmmmmmmhh ni nature jama itabaki kuwa ivo
 
angalia picha ya pili mstari
wa kati (3) utajifungulia kinyumenyume /mgongo juu hata km ni labour
za operation za siku hizi NO
Hapo ni CHUMA CHIKALI KUMOTO ndio unaweza sikia chorus tena sauti ya
pili na ya tatu


Haya mkuu.
 
293767_365797493512260_1665922871_n.jpg
sasa hawa wanaimba nyimbo gani? Mbona wamekunja Nyuso zao?Mkuu Mbuzi Mzee
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom