Wanawake: Kwa nn mnapenda kuparura??

Wanawake: Kwa nn mnapenda kuparura??

snowhite anaweza hata kukesha kwenye hii sredi. Anapenda
 
Last edited by a moderator:
Yote mwalimu nipe yooote kabisa...nami niwe mwangani

mabwaku ni mifungasho yani kitu cha tv za chogo siyo mambo ya sony bravia!
mparuro ndo kama huo alioonyehsa kwenye picha sasa sijui aliparuriwa alipokumbatia mabwaku?
mfiliso si ndio hvoo mabwaku yanammaliza uchwawi wa kizungu!asahauliwe!
TAFSIRI HII NI KWA HISANI YA snowbofloicious.com!
 
platozoom hcho kitu kama cha arusha hebu taratibu mwalimu wangu snowhite asije akawa teja?

na we nawe eee cha cha arusha anipe platozoom ,usimpe bichwa sana banaaa!
anaweza asilale usiku ujue!lol!
mtani usiku mwema bana usimsikilize huyu mwanafunzi wangu!
 
Last edited by a moderator:
Mmh Boflo kwa rangi yako, hiyo mikwaruzo haiwezi onekana.
 
Last edited by a moderator:
Duh sasa ndio naanza kuelewa kwa nini mama yangu aliniambia "wanawake ni mashetani" Ni kwa sababu ya makucha marefu na kuparua
 
Boflo pole wka kuparuriwa........hahahhahahaaaaaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Duh sasa ndio naanza kuelewa kwa nini mama yangu aliniambia "wanawake ni mashetani" Ni kwa sababu ya makucha marefu na kuparua

mkuu mama yako ndio alisema hivyo?!?!? mhh au ni baba yako?!?
 
Back
Top Bottom