Wanawake: Kwa nn mnapenda kuparura??

Wanawake: Kwa nn mnapenda kuparura??

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
.........
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    30.9 KB · Views: 813
...na mdau na yeye anaonekana ana'enjoy kupaluliwa.

MUDA HUO HAYASIKII MAUMIVUUUU!!!! HAYA HADI WAKATI WA KUOGA SASAAA..........Hata akina MESSI hugundua maumivu ya michubuko yao wakishatoka uwanjani na kuguswa na maji na sabuni!!!!
 
ni ngumu kukoma
huwa nikikakaa nasikia masikioni yanalia bwaku bwaku bwaku

hakyamama mtoto una balaa wewe!
haya ngoja nikwitie Preta ndo ajue kabisa mkiendaga mbezi ahakikishe huyaoni!lol
 
Last edited by a moderator:
jamaaa atakuwa anateleza mgongo!hivyo ni katika juhudi ya kujishikiza apate balance bi-dada anaparura bila hata kujua!!
 
si kila mwanamke anaparura wengine wanafinya, wengine anakukata mangumi ya mgongo vibaya mno. Halafu kuna wale wa kulia mamaaa mama weee! Taaaamuu
 
si kila mwanamke anaparura wengine wanafinya, wengine anakukata mangumi ya mgongo vibaya mno. Halafu kuna wale wa kulia mamaaa mama weee! Taaaamuu
kaka hii niisome au niipotezeee!
za magono?
 
Back
Top Bottom