Wanawake kwa kulalamika

Kazi ipo aisee...ngoja waje ambao wanasumbuliwa na mapu*mbu labda watakuelewa mkuu. Ha ha ha

However, naomba tu nikuambie mkuu wangu kuwa mimba ni habari nyingine kaka. Muache mama aitwe mama.

Ndio maana baadhi ya dini zimempa hadhi kubwa sana mwanamke to an extent kwamba 75% ya haki za mtoto kwa mzazi amepewa mwanamke (mwanaume kapewa 1 out of 4 tu) na kwamba pepo (heaven) ya mtoto iko chini ya mama na sio baba. Tuwaheshimu, kuwahurumia, kuwaongoza na kuwapenda sana wanawake, of course despite their many flaws.
 
Hujui unalolisema wewe. Binafsi ingekua wanaume ndo tunabeba mimba, ningegoma tuishi bila watoto kwenye ndoa, hongera wanawake wote mke wangu akiwemo.
 
Ingekua tunabeba mimba kwa kubadilishana ingekua poa sana lkn kwa vile Mungu aliumba mwanamke ndio wa kubeba mimba haina jinsi
 
Kuna kanga zilitoka kipindi fulani hivi zikawa zinavaliwa na machangu kwa siri siri. Zilikuwa zina maandishi yasemayo "PUMBU SIYO MZIGO"

Busha hiyo ni story nyingine though!
 
Well said !!! Mkuu umesema neno.. lingeweza kutukimbiza mbali siye... wanaume hatuwezi hata kubeba mwamvuli !!!
Ni kweli mkuu. Hata mwamvuli ikiwezekana inabidi tubebewe.

Kuwa mwanamke ni kazi ngumu jamani. Imagine kila mwezi lita kadhaa za damu zinakuvuja tu for no reason at all. Kujiingizia ma tampons na mazagazaga mengine ili kujisitiri. Halafu unakutana naye anacheka kumbe midamu inamvuja masikini. Bado ubebaji wa mimba. Bado uzazi. Litoto lizima linapitaje kwenye kale katundu kadogo katamu? Ni miujiza ya Allah tu. Bado kila siku kuna kujipodoa ili kufurahisha wanaume. Bado ku na kupambana na mamihogo ya jang'ombe kutoka kwa mianaume mikatili isiyojali. Bado kuna presha za kupigwa tigo ukizubaa. Bado malezi ya watoto. Halafu huyu jamaa analalamika eti amechoka kubeba pumbu? Come on man!
 
Ndiyo maana M?mungu amewaumba na extra rib ... wamezidishiwa ka ubavu kamoja !!
mamylove poleni kwa presha/majukumu/ubebaji usiyo wa kukimbilika...nk!!!
 
Wanawake bwana kwa kulalamika eti "0oh nimebeba mimba miezi tisa"
mbona sisi tumebeba pumbu tangu wadogo na hatulalamiki.? Au ww unasemaje mwenzangu....?

Una matatizo wewe, Kama unadaiwa hela ya matumizi lipa
 
Back
Top Bottom