Wanawake kuweni wabunifu wa kupiga mizinga

Yaleyale

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
1,797
Reaction score
2,410
Hizi style za mizinga zimezoeleka sana mpaka zinachosha kusikiliza.
1. Kuna msiba naomba uniongezee nauli nikazike
2. Mama anaumwa nataka nikamwone
3. Simu yangu imedumbukia kwenye maji nataka nikategeneze/ ninunulie.
Tafadhali tafuteni swaga mpya hizi zimezoeleka mno

Uzi tayari.
 
toa hela upewe mautamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baby naomba 150000 nikanunue box za salama na lady pepeta
 
Hizi style za mizinga zimezoeleka sana mpaka zinachosha kusikiliza.
1. Kuna msiba naomba uniongezee nauli nikazike
2. Mama anaumwa nataka nikamwone
3. Simu yangu imedumbukia kwenye maji nataka nikategeneze/ ninunulie.
Tafadhali tafuteni swaga mpya hizi zimezoeleka mno

Uzi tayari.
Kiukweli, mimi ni mvivu sana kuingiza mkono wangu mfukoni, alafu kwangu mimi ni dhambi kumpa hela mwanamke ambaye hatujaoana bado, huwa naona ni bora nikasaidie watu wenye shida Mungu atanizidishia baraka. Poleni mnaondelea kuwapa pesa hao wakina HAMIDA huku ndugu zenu wanalia shida. Unawekeza kwa Hamida mwishoe unapata faida ya kulialia, hapo humlilii hamida ila unalilia uwekezaji wako.
 
Kuna manzi moja hio hua naipotezea lwa mda hivi sasa siku nnayo amua kumtafuta basi huanza na swaga za simu yake kuharibika siku nyengine mara imeibiwa ni shida tu yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli, mimi ni mvivu sana kuingiza mkono wangu mfukoni, alafu kwangu mimi ni dhambi kumpa hela mwanamke ambaye hatujaoana bado, huwa naona ni bora nikasaidie watu wenye shida Mungu atanizidishia baraka. Poleni mnaondelea kuwapa pesa hao wakina HAMIDA huku ndugu zenu wanalia shida. Unawekeza kwa Hamida mwishoe unapata faida ya kulialia, hapo humlilii hamida ila unalilia uwekezaji wako.
Hongera mkuu. Sisi wengine hizi swaga zimekuwa zikijirudiana sana. Ukiachana na Hamida ukamcheki Husna mambo ni yale yale. Ndiyo maana tunatoa wito wawe wabunifu maana haiwezekani kila manzi simu yake iaribike pale mnapofahamiana baada ya siku chache.
 
Simu ikiwa nzima atahitaji aende Saloon
Hongera mkuu. Sisi wengine hizi swaga zimekuwa zikijirudiana sana. Ukiachana na Hamida ukamcheki Husna mambo ni yale yale. Ndiyo maana tunatoa wito wawe wabunifu maana haiwezekani kila manzi simu yake iaribike pale mnapofahamiana baada ya siku chache.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo namba moja nimepigwa juzi,nikaona kaishiwa ubunifu,nikaachana nae.
Wanawake kuweni wabunifu mbona hela tunatoa hatuna shida kabisa.
Hela hatutoi pale tunapoona mmetufanya mafala kwa kupiga kizinga ambacho hakipo kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom