WANAWAKE kukaa hovyo ni kujisahau tu au makusudi?

Mshinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
3,532
Reaction score
1,130
Unamkuta mwanamke amekaa vibaya na kwa kuwa jicho halina pasia basi unaona mpaka shinyanga na hata mwadui panaweza kuonekana,sasa huwa sielewi hii ni bahati mbaya tu ama wanafanya makusudi?Mana kuna wengine unaweza kumkuta hivyo zaidi ya mara moja.
Na huwa ni ngumu kidogo kumwambia kuwa umekaa vibaya,ama nguo mhimu iko wazi,ama funga zipu yako,japo nakumbuka enzi zangu za sekondari nilikuwa na ujasiri wa kufunga zipu ya demu nikiikuta imefunguka na haikuwa tatizo lakini huku mtaani na mpaka sehemu za kazi na hata kwenye daladala inakuwa ngumu kidogo.
 
Umejitahidi kuzungukaaa, lakini la muhimu bado sijaliona.
 
Actuall zamani nilikuwa nafikiri ni makusudi na wanatega
but ukikua au ukipata nafasi ya kufanya kazi maofisini na wamama
utagundua ni bahati mbaya kabisa
wengi hujisahau tu wala sio kusudi
 
Ukiona mwanamke anathubutu kuacha maungo yake wazi, ujue yameshaonwa sana kiasi haoni haja ya kuwaficha waliobaki kwani ni wachache kuliko waliokwisha ona live.

Kama unabisha, angalia vitoto vinavyoelekea kwenye balehe, huwa viko serious sana na nguo na kamwe havijisahau vikaacha maungo wazi. Wanaofanya hivyo ni manungayembe na midubwasha iliyokubuhu kama nanilii wa JF
 
Inawezekana hasa kwa wamama na ni makuzi ya kiafrika hatuna tamaduni za kufundishwa jinsi ya kukaa japo kawaida mtoto wa kike ni vema kukaa ukiwa umebana miguu na hii yasaidia hata kama una kimini chako bado unakuwa umekaa vema. Ama kuzoea kuvaa nguo ndefu na hivyo akivaa fupi/magotini wakati wa kukaa anajisahau kwa kuwa mara nyingi yupo ndani ya nguo ndefu kama dela, n.k
Ila wadada wengi hasa kwenye public nadhani makusudi na biashara pia.
 
watu wazima (ke)huwaga ni bahati mbaya tu but vijana (ke) hufanya makusudi!!!
 
Actuall zamani nilikuwa nafikiri ni makusudi na wanatega
but ukikua au ukipata nafasi ya kufanya kazi maofisini na wamama
utagundua ni bahati mbaya kabisa
wengi hujisahau tu wala sio kusudi

Ni kweli kabisa wengi wao hawafanyi kwa makusudi,hasa wakati wanapofanya mitihani na kuna swali anakumbuka jibu lake lakini amelisahau wakati huo! wee kama yuko nyuma yako halafu ukigeuka utajuta kugeuka maana unaweza kupoteza network na wewe! wasimamizi wa mitihani wanapata tabu sana kwa hawa viumbe hasa wasimamizi wa jinsia ya kiume!wengine wanategwa tu akitoka tu nje kurekebisha mambo demu anapata mwanya wa kudesa!chezea wadada wewee!!!
 
wengine wako hivyo na hawana makusudi yoyote mazuri wala mabaya. Ndivyo walikua wako miscellaneous naweza kusema!

lakini kwa mjini wapo ambao si bahati mbaya, wana malengo yao. Utawakuta vibarazani asubuhi wamejiachia tu na ukijaribu kuwaangalia utakutanisha nao macho nao wanakutazama kuhakikisha kwamba umeona maonesho yao... Wengine asubuhi tu unakwenda kazini unakutana nao wanafanya usafi lakini wametupiamo tu khanga moko tena kizembe-zembe kabisa.....
 
Kazi kwelikweli.
 
Unamkuta mwanamke amekaa vibaya na kwa kuwa jicho halina pasia basi unaona mpaka shinyanga na hata mwadui panaweza kuonekana,sasa huwa sielewi hii ni bahati mbaya tu ama wanafanya makusudi?Mana kuna wengine unaweza kumkuta hivyo zaidi ya mara moja.
Na huwa ni ngumu kidogo kumwambia kuwa umekaa vibaya,ama nguo mhimu iko wazi,ama funga zipu yako,japo nakumbuka enzi zangu za sekondari nilikuwa na ujasiri wa kufunga zipu ya demu nikiikuta imefunguka na haikuwa tatizo lakini huku mtaani na mpaka sehemu za kazi na hata kwenye daladala inakuwa ngumu kidogo.

Dunia ya utandawazi biashara si mpaka uandike usoni bali ni kujitangaza kisaikolojia. Ungemwendea tu bila woga kwani mwenzako alishakuchabo bila ya wewe kujijuwa na akaona una udhaifu fulani hivyo akakutegea wewe unamshangaa, vipi mwenzetu?
 
Ukiona mwanamke anathubutu kuacha maungo yake wazi, ujue yameshaonwa sana kiasi haoni haja ya kuwaficha waliobaki kwani ni wachache kuliko waliokwisha ona live.

Kama unabisha, angalia vitoto vinavyoelekea kwenye balehe, huwa viko serious sana na nguo na kamwe havijisahau vikaacha maungo wazi. Wanaofanya hivyo ni manungayembe na midubwasha iliyokubuhu kama nanilii wa JF

Dah.... nimeipenda hiyooooo kwenye red!!!!
 
Sikuhizi wadada wengi hawana private parts, zote public.
Wakati ww unaona wamekaa uchi wao wanatamani sheria ipitishwe ya kutembea uchi, maana hata hzo nguo chache walizovaa wanaona ni kero
 
Heee ngoja na mie nikae vizuri. ni bahati mbaya mwaya.
 
Sikuhizi wadada wengi hawana private parts, zote public.
Wakati ww unaona wamekaa uchi wao wanatamani sheria ipitishwe ya kutembea uchi, maana hata hzo nguo chache walizovaa wanaona ni kero

Weka mbali na watoto,ni hatari sana kutembea uchi.
 
Kuna wengine sio bahati mbaya wala nini..unakuta kavaa kinguo kifupii halafu kimechanua akikaa mipaja yoote wazi mpk karibu na sehem ya ---- ionekane...kuna huyo binti sijui ndo malezi yani aibu tupuu..km huwez kukaa vizuri si uvae nguo ndefu au suruali...sasa nguo fupi kukaa ndo hivyo si kusudi hilo
 
Back
Top Bottom