Kunta Kinte
JF-Expert Member
- May 18, 2009
- 3,690
- 1,293
Duuuuh hayo yamenikuta sana maana unamkutajirani kituoni anakupiga mkono utafikiri traffic police, cha ajabu ukisimama amekwisha waambia wenzake twendeni mi namfahamu huyu baba. Basi unakuta jeshi linalovamia gari mpaka unashangaa, kukataa unashindwa na kukubali pia mdomo mzito.Mkuu tofali, nakuunga mkono. Hata tofauti na gari kuchakaa, hata kuchafuka linachafuka sana, uanakuta mtu katoka huko na matope, halafu unapondenda car wash wanakula 15,000/=.
We si umesema kuwapa lifti wanawake ni ngumu labda mpaka tutake kumtongoza
Ssa kwani nilipokupa lifti nilikutongoza????????
VEERE MSWEET asee!naacha bhange zooote!
Masharti ya wanunuaji hayo Boflo
hapana, tuliimba mapambio tu. lol
Lol..pia wanawake wana mambo mengi sana wakiwa garin kwao mashauzi,maringo,uwoga,na pia kutopanga vitu vyao kimpangilio ndani ya mafaru yao.utakuta hapa viatu,pale chanuo,kiti cha nyuma viatu,miamvuli nguo,tissue,toilet paper,mafuta yaani ni fuul miyeyusho,zaidi ya yote ni kuwa na haya..
ahahhahahahha navopenda mteremko mie!
lol!nakuwaje msweet sasa nikiwa kene gari!
kesho naulizwa kabisa,vip umeshamaliza kazi zako!
uuuwih!nimekumbuka zile offer za dinner tukiwa kweny seminars ,nabebaje nauli tu ya kwenda!
issue ni maneno tu matamu matamu ya kusindikizia foleni na kusahahu hahdidu a reje kwa muda!
Duuuuh hayo yamenikuta sana maana unamkutajirani kituoni anakupiga mkono utafikiri traffic police, cha ajabu ukisimama amekwisha waambia wenzake twendeni mi namfahamu huyu baba. Basi unakuta jeshi linalovamia gari mpaka unashangaa, kukataa unashindwa na kukubali pia mdomo mzito.
Shughuli utaikuta ukishawashusha, mara unakuta mwingine badala ya kukanyaga kwenye busati lililopo amekanyaga na mavumbi/matope nyuma ya seat cover mpaka bhaaaaas. Ukiingia car wash unalambwa si chini ya 10,000.
Yap!
Tena yale mapambio ya kuabudu!!!!!!!!!!!!lol!!!!!!
imagine!Yaani kama nakuona hivi shosti. Mimi sometimes hadi nawahurumia wanavyojikakamua na kupretend, halafu unakuta mtu kama huyo kwa familia yake ni mgumu na ni mkali utafikiri policcm kwa CDM.
tutaimba tena lini mapambio? lol
Na bado wengine ukiwaambia hivyo wataona unaringa na gari lako wakati ndiyo uwezo wa gari umefikia hapo.Pole Mkuu, hayo ndiyo maisha. Wakati mwingine ni vigumu kuyakwepa, maana usafiri kweli unakuta ni wa shida hasa asubuhi au jioni, halafu mtu unamfahamu, na yeye anakuwa amesimama na watu ambao anaona aibu kuwaacha, wakati mwingine utakuta wanakuja zaidi ya uwezo wa gari na kulazimisha kuingia hata wakae kwa kupakatana. Ili uwe mwungwana ni vizuri kuwaambia kwa upole kuwa uwezo wa gari ni watu 4.
Kila mwanamke aliye na gari kanunuliwa.??? Acheni ushamba...huko ofisini kwako hamna wanawake walikuzidi salary. ...hauna mabosi wa kike.??? Hujasoma na mademu vichwa darasani...kumbe bado mna mawazo mgando eehh...mwanamke ni mama wa nyumbani.??heeee pole weeeeeee......cash aint nothing now days as long as uko vizuri kimshahara...si kila demu anahongwa km kina sepetu
Hapo kwenye idadi ya watu inadibidi uwe mkali hata kama utaambiwa unaringa hata ikiwezekana ukosane nao hata kama ni majirani zako. Hii ni kwa sababu kuchukua mzigo zaidi ya uwezo wa gari kunachakaza gari, ukipakia watu zaidi ya uwezo wa gari, ukakutana traffic police inaweza kukutoka 50,000/= maana hilo litaibua makosa megine kama "fire tingisha", hata kama sio 50,000/= lazima 2,000/= au 5,000/= ikutoke kwa ajili ya supu. Na usiombe ukutane na yule traffic fake, maana yule yuko kijasiriamali zaidi.Na bado wengine ukiwaambia hivyo wataona unaringa na gari lako wakati ndiyo uwezo wa gari umefikia hapo.
mtuwache na maghala yetu ya taifa!
hujui kuwa mwanamke tu ni sifa mojawapo KUU ya kuwa MENEJA UGAVI!
Unaweza kumpa lift mwanamke mwenzio, hiyo afadhali lakini wanamme kuwapa lift ni usumbufu.
Kwanza mwekezaji anamind kukuta kidume kimetuna mbele afu mko wawiliu tu.
Wengine unawapa lift wanaanza kukutongoza bure.
Ukute umekula umin wako hatari ukikaa kinapanda hadi God knows whhere.
Mood swings za kike, sometimes unahitaji space kuwa peke yako na kutafakari tu.