Ukiangalia Wanaume town asubuhi au jioni utakuta wamewapakia marafiki, wanawake au ma staff wenzao...
Lakini gari nyingi zinazoendeshwa na wanawake hukuti mwingine kapakiwa ndani ya gari...
Naomba tujadili
View attachment 107247
Masharti ya wanunuaji hayo Boflo
Unaweza kumpa lift mwanamke mwenzio, hiyo afadhali lakini wanamme kuwapa lift ni usumbufu.
Kwanza mwekezaji anamind kukuta kidume kimetuna mbele afu mko wawiliu tu.
Wengine unawapa lift wanaanza kukutongoza bure.
Ukute umekula umin wako hatari ukikaa kinapanda hadi God knows whhere.
Mood swings za kike, sometimes unahitaji space kuwa peke yako na kutafakari tu.
Cha kuhongwa kina masharti so lazima yazingatiwe...