Wanawake kubadili line za simu Wanapoolewa..

Boflo, siku hizi kuna nguvu nyingi sana. Kuna nguvu ya umma na nyingine ni nguvu ya uke, hii ni kiboko. Kenya nguvu ya uke imesababisha midume iwe inapokea kipondo daily, Kahama kuna mtu kajiua, kuikwepa nguvu ya uke.
Maswali yako haya yatasababisha ukutane na nguvu ya uke kutoka kwa wadada wa JF.
Mi simo, au unajidai kuwasahau wale madume waliobakwa Zimbabwe na wale wadada wenye nguvu za uke?

Bujibuji, nguvu ya uke lol? Yaani nimecheeka sana.

Ndo haki sawa kwa wote tena, mtafanyaje? Ila Boflo namwaminia ktka kujibu hoja, tutacompromise nae tu.
 
wengi labda wanataka waanze maisha upya....vile vimeo vilivyokua vinawasumbua kabla hawajaolewa wanakua wanataka wavifute kabisa kwenye mawasiliano
 
Ninashangazwa sana na hii tabia.....Hivi kwa nini wanawake wanapoolewa wanabadilisha

line za simu??? Kwa mfano Dada yangu alipoolewa kabadili, mademu wengi ninaowajua

nikisikia wameolewa, nikiwapigia simu siwapati.

Kwa nini jamani mnakuwa hivi? hamjiamini? Hii inanifanya niamini kuwa Wanaume wengi wanaoa wanawake ambao ni

wasanii na washafanya sana mchezo mbaya..


View attachment 67665

Hiyo blue aisee si mchezo mbaya huo kamwe
 
Kwanini mtu abadilishe, kama wewe ni mkware si nauchuna tu, sijibu au sipokei cm. Naweka kwenye block list.
 
Sikuhizi hata wakibadili kazi bure ni kumuomba mungu tuu!
 
Wanaume wengine wanakupenda zaidi wakisikia mwenzao ameshajicommit.... Sasa tabu ya nini home? Bora wasinipate kabisa.....
 
bora asibadilishe. hao wanaoingia kwa mbwembwe na kubadili namba na kudiss marafiki wote wa kiume, akiwa frustrated tu utausikia mziki wake. huwa wanatafutana na kumaliza yote kabisa. Raha sana ukiwa na mwenza mchizi-fresh
 
View attachment 67665[/QUOTE]

na wewe ukiolewa utabadili line au??
Sorry kumbe we ni me
sasa boflo hilo linatokea tu ila mi nabadili line lakini namba ya yule pedeshee kama sijaikariri au namba mpya naiandika either kwenye kabati la vyombo jikoni au naandika kwenye karatasi kisha naiweka katikati ya zuria
ha ha kubadili line mi bwana wangu hajanioa ila kanibadilishia kama tatu vile lakini bado watu wangu nawasiliana nao
mjini shule ,,,,,
 
sometmes jibu unaweza ukwa nalo, we unafikiri ni kwa nn yule uliyekuwa naye alibadili lline,ucje ukamkumbusha vi2 mlivo kuwa mnafanya
 
Ni sahihi kabisa kubadili number, sio kama hawajiamini ila kuna mijanaume mingine haina maana kabisa..akiona mdada ameolewa yeye bado anaendeleza matani ya kijinga jinga, au anapiga simu muda wowote tena zisizokuwa na maana, hajali wala haeshimu kuwa mdada wa watu ameolewa. inakera sana! WANAWAKE AU WANAUME PIA, BADILISHENI NUMBER ZENU MKIOA AU KUOLEWA ILI MUANZE MAISHA YENU MAPYA YASIYOKUWA NA VIMEO.
 
Back
Top Bottom