Wanawake kubadili line za simu Wanapoolewa.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake kubadili line za simu Wanapoolewa..

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Boflo, Oct 9, 2012.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ninashangazwa sana na hii tabia.....Hivi kwa nini wanawake wanapoolewa wanabadilisha

  line za simu??? Kwa mfano Dada yangu alipoolewa kabadili, mademu wengi ninaowajua

  nikisikia wameolewa, nikiwapigia simu siwapati.

  Kwa nini jamani mnakuwa hivi? hamjiamini? Hii inanifanya niamini kuwa Wanaume wengi wanaoa wanawake ambao ni

  wasanii na washafanya sana mchezo mbaya..


  5.jpg
   
 2. awp

  awp JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
 3. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kuondoa usumbufu wa wakware kama Boflo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ndio maana huwa nawasikitikia wanao oa
   
 5. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,336
  Likes Received: 1,801
  Trophy Points: 280
  Hiyo picha kama ile ya sex and the city
   
 6. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Unaanza mambo fresh kuna wengine wakisikia umeolewa ndio cm za usiku hazishi..
   
 7. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  mi mbona sijabadilisha mpaka leo.....namba yangu ni ile ile niliyokupa......
   
 8. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Liar.....hebu rusha kwa pm nikupigie just now
   
 9. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mhm ata mie namwambia abadilishe maana majaa hayachelewi kusema " mke wapi goma lenyewe tulikuwa twalimega hapa kidizaini kwani kuolewa ndio mwisho wa utamu" wanakutombe*a tuu.
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,390
  Likes Received: 22,272
  Trophy Points: 280
  Boflo, siku hizi kuna nguvu nyingi sana. Kuna nguvu ya umma na nyingine ni nguvu ya uke, hii ni kiboko. Kenya nguvu ya uke imesababisha midume iwe inapokea kipondo daily, Kahama kuna mtu kajiua, kuikwepa nguvu ya uke.
  Maswali yako haya yatasababisha ukutane na nguvu ya uke kutoka kwa wadada wa JF.
  Mi simo, au unajidai kuwasahau wale madume waliobakwa Zimbabwe na wale wadada wenye nguvu za uke?
   
 11. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  cyo wote wanabadilisha wengine cyo wakware :lol:
   
 12. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Ukifika wakati hili tendo lazima litimie
   
 13. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Wengi wao vimeo! Kwenye ndoa za sikuizi kuna vimeo kinoma! Bila sala na kumweka mungu mbele, ndoa lazma ibume!
   
 14. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #14
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Duh! Bofloooo,NATA anaua sio!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Nimeona na jamaa naye anabofya, hapo ngoma droo...
   
 16. Tram Almasi

  Tram Almasi JF-Expert Member

  #16
  Oct 9, 2012
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 755
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Boflo, labda anaamua kuanza ukurasa mpya wa maisha na ku-erase kila kitu kilichopita. Si unajua tena waswahili husema ''uhawara haufi''. Kwa maana hyo anaogopa vihawara vya zamani visianze kusumbua halafu ikawa shida. maana anaweza kushindwa mwaliko wa hawara anayetaka wakakumbushie enzi zileeeee!
   
 17. LexAid

  LexAid JF-Expert Member

  #17
  Oct 9, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 1,950
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Basi Wewe wa Ukweli, 1 out of 1369 in Tz.
   
 18. KOKUTONA

  KOKUTONA JF-Expert Member

  #18
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 8,344
  Likes Received: 391
  Trophy Points: 180
  Bujibuji, nguvu ya uke lol? Yaani nimecheeka sana.

  Ndo haki sawa kwa wote tena, mtafanyaje? Ila Boflo namwaminia ktka kujibu hoja, tutacompromise nae tu.
   
 19. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #19
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  i think they are trying to leave the past behind and start afresh, ni vizuri pia kwani may b wanataka kulinda ndoa zao
   
 20. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #20
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Mimi wa kwangu kabadilisha kama mara tatu hivi na wala sioni taabu kwani ni njia mojawapo ya kulinda mahusiano yetu kama alikuwa na tabia mbaya hapo kabla.
   
Loading...