Ninashangazwa sana na hii tabia.....Hivi kwa nini wanawake wanapoolewa wanabadilisha
line za simu??? Kwa mfano Dada yangu alipoolewa kabadili, mademu wengi ninaowajua
nikisikia wameolewa, nikiwapigia simu siwapati.
Kwa nini jamani mnakuwa hivi? hamjiamini? Hii inanifanya niamini kuwa Wanaume wengi wanaoa wanawake ambao ni
wasanii na washafanya sana mchezo mbaya..
View attachment 67665
Hehehehe wakware hata unapoolewa bado wanataka tu!!...akiambiwa na bi dada, "Mie nimeolewa siku hizi" njemba inauliza kuolewa ndiyo nini!?