weka pichaJamani siku hizi wanawake karibia wote wamevimba makalio sijui wanatumia nini wananpa shida yani niko mjini kila saa nageuza shingo kidogo nigongwe na magari.
hapana mkuu mi kaflat kangu naenda kama nasukumwaHata wewe miss Chaga umefungasha nn?
Nakuona mama ipoipo sio mbayaza mama Ndalichako izo.................
Huyu naye vipi, Si awaangalie tu walioko mbele yake? Au ni wanaume tu walikuwa mbele yake [emoji23] [emoji23]sasa kama ni mengi unageuka kuangalia nini au wanapita huku wanacheza mdundiko
ha haaha anatamaaHuyu naye vipi, Si awaangalie tu walioko mbele yake? Au ni wanaume tu walikuwa mbele yake [emoji23] [emoji23]
Basi muda si mrefu tutasikia Bwana alitoa na Bwana ametwaa[emoji23] [emoji23]ha haaha anatamaa
mwache akarutubishe ardhiBasi muda si mrefu tutasikia Bwana alitoa na Bwana ametwaa[emoji23] [emoji23]
hahahaaaa, mjinga.[emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3]fanya kakclip
hutaki kufaidi mkuuhahahaaaa, mjinga.[emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nipo hospitali nafungwa P.O.P ya shingo kwa mambo hayohayo ya kuangalia upande mmoja[emoji1]
hapana mkuu mi kaflat kangu naenda kama nasukumwa
[emoji23] ningeshangaa kweli miss Chagga siyo mambo yenu kabisa hayo tunawaachia akina miss Bantu.hapana mkuu mi kaflat kangu naenda kama nasukumwa
mie nikikerana na mama watoto siongei kitu nachukua daladala kutoka sinza hadi posta mida ile wanatoka kazini, basi nitatizama vyuura pale wee ikifika saa 3 napanda daladala kurudi sinza hata nikifika nyumbani hasira zishaisha
Ha ha ha ha!mie nikikerana na mama watoto siongei kitu nachukua daladala kutoka sinza hadi posta mida ile wanatoka kazini, basi nitatizama vyuura pale wee ikifika saa 3 napanda daladala kurudi sinza hata nikifika nyumbani hasira zishaisha
Anza kuangalia makalio ya waume .