Wanawake karibia wote wamevimba makalio, mtatumaliza jamani!

Wanawake karibia wote wamevimba makalio, mtatumaliza jamani!

Ukishagongwa ndo utaacha mana utakuwa ukiangalia majeraha unakumbukia ujinga uliokuponza
 
14590311_1434993196528198_2604449576640497511_n-jpg.424527
 
Usikubali tamaa ikutawale au udhaifu wowote! Mungu ameweka nguvu kubwa ndani yako ya kuweza kuyashinda yote hayo Kama utakubali kupata maarifa Yake Na kujitambua !
 
Tangia awamu hii ilipo ingia madarakani, naona hili jukwaa linazidi kukosa hadhi yake kama ile ya zamani
 
Jamani siku hizi wanawake karibia wote wamevimba makalio sijui wanatumia nini wananpa shida yani niko mjini kila saa nageuza shingo kidogo nigongwe na magari.
We acha tu ndugu me mwenyew nipo kituo cha polisi hapa baada ya kumwaga karanga za watu wakati nageuka kumtazama bint mmoja amejazia kinouma noma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom