Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,302
- 96,508
Sasa tutawatakaje wakati mmeshaolewa? Au mnataka kuchepuka?Tupo Sema hamtutaki, mnatuona washamba.
Sasa tutawatakaje wakati mmeshaolewa? Au mnataka kuchepuka?Tupo Sema hamtutaki, mnatuona washamba.
Hahaaa, Babu wewee nilikutukana lini tena jamaniSiku hizi una busara sana. Nimetokea kukupenda japo ulinitukana sana siku ile. Nimekusamehe lakini
,am very sorry , na ahsante Kwa compliment piaaMkuu nmecheka sana kwamba mipango inayotekelezekaTupooo, pesa zinatafutwa tuu ili mradi awe na mipango inayotekelezeka lakini, siyo ya kufikirika![]()
![]()
Njoo tuyajenge mkuuuAisee nibahatike nikupate

Unapasua roho yangu bibie...Njoo tuyajenge mkuuu![]()
Hahahah khaaa! Ushasahau mara? Wewe bhana usinikumbushe nisije nikakupiga faini ambayo hutaweza kulipaHahaaa, Babu wewee nilikutukana lini tena jamani![]()
,am very sorry , na ahsante Kwa compliment piaa
Unapasukaje roho na miye nipo jamaniiUnapasua roho yangu bibie...
usife banaNiko serious financial servicesUnapasukaje roho na miye nipo jamaniiusife bana
Nikumbushe kidogo tu babu, seriously Mimi nilimtukana mtu humu tena babu yangu mheshimiwa kabisaaHahahah khaaa! Ushasahau mara? Wewe bhana usinikumbushe nisije nikakupiga faini ambayo hutaweza kulipa

Nipe rushwa kwanzaNikumbushe kidogo tu babu, seriously Mimi nilimtukana mtu humu tena babu yangu mheshimiwa kabisaa![]()
Kabisa. Wako wengi sana tu mkuuWapo Wengi Sana!!!
Hahaaa,ndyo isiwe mipango hewa,mambo ya kuniahidi utaninunulia BMW mwaka huu huu wakati hatuna hata pesa ya kulaaMkuu nmecheka sana kwamba mipango inayotekelezeka
Hilo la wewe kuchepuka tulishakubaliana usithubutu. Usithubutu asilani. Litakalotokea usije ukasema sikukuonyaMume sijawahi kukuruhusu na nilikuuliza kama na mimi ninaruhusiwa kuchepuka?
😂😂😂😂Hilo la wewe kuchepuka tulishakubaliana usithubutu. Usithubutu asilani. Litakalotokea usije ukasema sikukuonya
Hayo ni maneno kwa kuandika lakini hayatoki moyoni mnajielewa. Hakuna hata mmoja hataongea ukweli lakini ni kwamba baada ya beijig mambo yote yaribadirika.Tupooo, pesa zinatafutwa tuu ili mradi awe na mipango inayotekelezeka lakini, siyo ya kufikirika![]()
![]()
Siku hizi mitoto mingine inatuhibisha unakuta jamaa limevaa kipuli sikioni la lina piga goti et kumvalisha pete mwanamke.Hivi ndio engangement inatakiwa na sio mwanaume kupiga goti ni upumbavu..mwanamke piga goti uvishwe pete au uvishe