Swenailie
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 240
- 228
Pole I can understand.Mtoa mada umenigusa kunako hili limenitokea mimi nahisi huyo mtu kama yupo jf atahisi mimi nimekusimulia kitu.inauma sana mtu umetoka naye mbali,umemsaidia vitu vingi umemjali kwa yote.hujawahi chepuka then inafika day analeta sababu hazina kichwa wala miguu.kisha anadai umwachee.wallah nilitamani kwenda kwa mganga.nilitamni nitume watu wakamfanyie kitu kibaya.nashukuru Mungu kuna rafiki yake alinipa moyo sana ila sitosahau. mmempanga mengi ukafahamika mpaka kwao then anaamu tuu kukuacha bila sababu.mlaniwe wote mnaotesa hisia za wenzenu.