Wanawake kama hawa hatari, wanaume kuweni makini

Wanawake kama hawa hatari, wanaume kuweni makini

Ni ujingaaa tu asa ukimuua mwenzako unakua umepata faida gani?kama umebwaga jikazeee tu mana hakuna namna na katika mapenzi tegemea mabadiliko yoyote yale coz hujui mwenzako moyon anawaza nn japo ni mengi mnaweza kuyaongea na kuyapanga mkiwa wawili ila haitakiwi uweke 100%
Hayajakukuta. kuua tu utatamani hata kummezaa mzima mzima.
 
Ni ujingaaa tu asa ukimuua mwenzako unakua umepata faida gani?kama umebwaga jikazeee tu mana hakuna namna na katika mapenzi tegemea mabadiliko yoyote yale coz hujui mwenzako moyon anawaza nn japo ni mengi mnaweza kuyaongea na kuyapanga mkiwa wawili ila haitakiwi uweke 100%
Mimi sikuui ila ntaondoka na mguu mmoja au mkono mmoja kama kumbukumbu ya muda ulonipotezea.
 
mkuu naona umewapendelea sana wadada, inshort hata wao wana makosa makubwa sana. men cheat women cheat too
Uko sahihi kaka.......ila nimeongolea hili sababu watu walitolewa uhai na inasikitisha...........Hafu kwa mambo kama haya..mi naona sio vizuri.
 
Huwezi kulipa kisasi Zaidi ya Mungu ajuaye hadi sirini, Mungu anachukuia wenye hila. Leave it onto God, utaona habari yake. Chunguza sana na wengine wamo humu, waliowahi kufanya matendo hayo wote mwisho wao na maisha yao sio mazuri. Either ndoa migogoro, hakuna mtoto hakuna mafanikio maishani iwe biashara au kazini ni msoto Mbele kwa Mbele. Mwachie Mungu kwani naye anachukia wafanyiao hila wenzao
 
Mh umenikumbusha mbali wewe ndugu, Kuna mioyo inamiliki siri kubwa sana kwenye jamii zetu....hata hivyo malipo ni duniani akhera hesabu tu
Nimesha pakumbuka huko mbali bibi..[emoji12] [emoji12]
 
I wonder bora kusema mapema Mtuu mamiakaaa anakataa tuu watuu then down.utaacha kurogwa kweli maana mioyo binadamu tunatofautiana wengn wana roho ya visasiii Sanaa.
Hii mioyo imebeba siri ambazo kwa macho hazionekan..
Datc why huwa napata wakat mgum kumfuata bint kumtongoza huku nikijua is innocent...huku nikijua namdanganyaa
 
haya mambo yapo tu, endapo kama sio mapenzi ya Mungu basi shetani huwa anaingilia kati na kuvuluga. Mie mwaka juzi nilioa hadi mahali na kugawa kadi zen bint akakataa kuolewa, kumbe alirudi kwa mtu wake wa awali. Kwa kitendo hicho binti akaingia mtafaruku na nduguze. Ili kuwa simanz kwangu; alirejea akilia na akisaga meno akiomba msamaha nikampotezea
 
Wale walioamua kuwa wazi katika mahusiano walionekana wabaya, walitukanwa kisa wamesema ukweli.

Wapo watu wanafurahi kudanganywa. Wakiambiwa kuwa hakuna promise yoyote wanakuwa wakali. Usitoe promise kwa mtu ili umfurahishe, tell them kuwa hauna mpango wa kuoa/kuoelewa in the near future ili aamue mwenyewe kubaki au kuondoka.
 
Duuh wanawake wa kiswahili bana vitisho vingi vya kuroga mbona mwanaume akiachwa anavumilia tu bila kuroga
 
Ni ujingaaa tu asa ukimuua mwenzako unakua umepata faida gani?kama umebwaga jikazeee tu mana hakuna namna na katika mapenzi tegemea mabadiliko yoyote yale coz hujui mwenzako moyon anawaza nn japo ni mengi mnaweza kuyaongea na kuyapanga mkiwa wawili ila haitakiwi uweke 100%
Kwa maelezo yako si ajabu umefakamia bwana wa watu unaogopa kubaki mjane muulize Alikotoa katoka salama? Ujane Au wewe usepe
 
Back
Top Bottom