Wanawake kama hawa hatari, wanaume kuweni makini

Uchumba tu unaua mtu je ingekua umefunga ndoa utafanyaje.

Wakati mwingine tuwe tunaangalia watu tulionao kuna jamaa yangu nilimpoteza kwa style hii
Pole sana ndugu, ni baadhi ya watu tu hawapendi kukubaliana na hali fulani. So sad .
 
Mtoa mada umenigusa kunako hili limenitokea mimi nahisi huyo mtu kama yupo jf atahisi mimi nimekusimulia kitu.inauma sana mtu umetoka naye mbali,umemsaidia vitu vingi umemjali kwa yote.hujawahi chepuka then inafika day analeta sababu hazina kichwa wala miguu.kisha anadai umwachee.wallah nilitamani kwenda kwa mganga.nilitamni nitume watu wakamfanyie kitu kibaya.nashukuru Mungu kuna rafiki yake alinipa moyo sana ila sitosahau. mmempanga mengi ukafahamika mpaka kwao then anaamu tuu kukuacha bila sababu.mlaniwe wote mnaotesa hisia za wenzenu.
Pole jamani
 
Haya bana
nyie akina dada ndio mnakuwaga wa kwanza kulalamika eti umenipotezea mda, nikikueleza niliyopitia unaweza ukazimia wiki nzima ndio mana nipo kimya kwa sababu mada imenishika pabaya.
SITAKI KUKUMBUKA
 
Mimi sikuui ila ntaondoka na mguu mmoja au mkono mmoja kama kumbukumbu ya muda ulonipotezea.
Hivi kumpotezea mtu mda wake Mimi naona ni sawa umemuua Mimi naona japo kibinadamu unaweza ukaona kuua practically na kumuua mtu kipsychology ni vigumu kuviweka pamoja hata mungu alisema Hakuna dhambi kubwa na ndogo
 
nyie akina dada ndio mnakuwaga wa kwanza kulalamika eti umenipotezea mda, nikikueleza niliyopitia unaweza ukazimia wiki nzima ndio mana nipo kimya kwa sababu mada imenishika pabaya.
SITAKI KUKUMBUKA
Poleh sana
 
Wanawake sio wakuwaamini kabisa mkuu.akili zao wanazijua wenyewe.mtu unampa kila kitu huchepuki at the end anakupa maumivu yasiyo haki yako.wadada muwe na huruma.kama mnakuwa mpo kimaslahi muwe mnatuambia mapema.
 
Wanaoacha ni wanaume tu? Wanaokufa ni wanaume tu? Washirikina ni wanawake na ndugu zao tu? Very biased story

Uchawi ni story za watu wenye akili fupi. Hakuna uchawi. Ukifa umekufa
 
Wanawake sio wakuwaamini kabisa mkuu.akili zao wanazijua wenyewe.mtu unampa kila kitu huchepuki at the end anakupa maumivu yasiyo haki yako.wadada muwe na huruma.kama mnakuwa mpo kimaslahi muwe mnatuambia mapema.
kaka uyo demu ndio alienifanya niijue michepuko na nikawa nayo hata haiesabiki but nashukuru sikupitia kwenye pombe ingekua balaa tupu
 
Kweli kabisa wanafanya mioyo yetu ibadilike ifanye vitu ambavyo nilikuwa navisikia kwa wengine na wala sikujua kama ntafanya.ila mpaka sasa nashukuru Mungu sijajiingiza kwenye tabia yoyote ile najua Mungu ananipigania.
 
Wanawake sio wakuwaamini kabisa mkuu.akili zao wanazijua wenyewe.mtu unampa kila kitu huchepuki at the end anakupa maumivu yasiyo haki yako.wadada muwe na huruma.kama mnakuwa mpo kimaslahi muwe mnatuambia mapema.
Kweli bwana
 
Hivi kumpotezea mtu mda wake Mimi naona ni sawa umemuua Mimi naona japo kibinadamu unaweza ukaona kuua practically na kumuua mtu kipsychology ni vigumu kuviweka pamoja hata mungu alisema Hakuna dhambi kubwa na ndogo
Ni kweli maana maisha huenda na mahesabu, ukishayapanga kisha mmoja akatibua mipango kwa makusudi ni hatari sana.

Mfano mtu makini anapanga aanze kupata watoto akiwa na umri gani na amalize akiwa na umri gani ili aanze kupambana na malezi tu.

Chukulia umri husika umefika alafu mwenzako uliekua ujimsubiria anakuletea mauzauza, hayo ni sawa na mauaji kabisa maana huo mda hauwez kufidiwa kamwe.

Pia hakuna kazi ngumu kama kutafuta mwenza wa maisha maana lazima kuwe na panga pangua mpaka apatikane.

Maandiko yanasema jihadharini na wanadamu.
 
Umeongea point sana mkuu.ila mara nyingi mkataa pema pabaya humwita
 
Mtoa mada umenigusa kunako hili limenitokea mimi nahisi huyo mtu kama yupo jf atahisi mimi nimekusimulia kitu.inauma sana mtu umetoka naye mbali,umemsaidia vitu vingi umemjali kwa yote.hujawahi chepuka then inafika day analeta sababu hazina kichwa wala miguu.kisha anadai umwachee.wallah nilitamani kwenda kwa mganga.nilitamni nitume watu wakamfanyie kitu kibaya.nashukuru Mungu kuna rafiki yake alinipa moyo sana ila sitosahau. mmempanga mengi ukafahamika mpaka kwao then anaamu tuu kukuacha bila sababu.mlaniwe wote mnaotesa hisia za wenzenu.
Hope now umepata tulizo jingine la moyo
 
Back
Top Bottom