Wanawake jamani! Eti huyu ana miaka 21?

Wanawake jamani! Eti huyu ana miaka 21?

Kwa maumbile ya wanawake hasa wa kiafrika ilivyo hata hiyo 21 mingi kwa huyo.
 
Huyo ni kibonge tuuu

Miaka 21 sio ajabu
 
Kiongozi unaweza kutugeuzia hiyo picha kidogo kwa upande mwingine! Kule ndio huwa tunajua umri sahihi...
 
Ss Ww Mtambuz Gan Hata Huyo Mtoto Unashndwa Kutambua Km Bado Mtoto, Au Ww Ni Mtambuz Wa Nn?
 
Kwa muonekano wa uso wake inawezekana kabisa akawa 21.
 
Kuna demu huku kitaa alivyokuwa mrefu,mnene na maziwa nilidhani ana miaka 28+

Nikashangaa kuambiwa ni mtoto yupo la saba na ana miaka 14
 
Hao chuoni wengi sana...dada mwaka wa pili eti ana 18yrs alaf kakomaa balaa
 
21 huyo kabisaa pipo wanaangalia mwili. Pia inategemea una comment tokea wapi mikoani hasa Kaskazini watoto wana miili midogo inayoenda sawa na age yao. Lakini ni tofauti na mijini kama dar Huku unakuta mtoto wa primary mwili mkubwa kama form 3 matiti makubwa etc so inategemea na mazingira ya anae comment. Lakini huyo ni mdogo kabisaa na inawezekana hiyo 21 katimiza jana
 
Back
Top Bottom