Binti mdogo huyo miaka 21 ni sawa kabisa. Nyie tatizo mnaangalia mwili.
Hapana mkuuGigigi mane au
Kwa hiyo anaonekanaje???.Huyu bado mtoto, kuna binti tunakaa nae mtaa mmoja yuko kama huyo na ni 19 yrs, anazaliwa anakua namwona.
Hata mimi nimeona kama weweni mtoto huyo bonge tu