Wanawake igeni mfano huu

Wanawake igeni mfano huu

kali linux

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2017
Posts
2,299
Reaction score
6,102
Kwenye kipindi cha "Leo Tena" clouds dr Mwaka kasema kwamba kuna mda analala na wake zake wote chumba kimoja.

Wake zake wameonesha kupendana kweli japo kwa kawaida wake wenza huwa wana visa vya mara kwa mara. Wake hao wameonekana wakicheza studio na kukumbatiana kisha kumbusu mme wao (dr Mwaka).

Jamani wanawake msiwe mnachukia tunapowaongezea wenza bali mfurahie na hata ikibidi muwe kabisa mnatushauri tuwaongezee yupi

~Peace
Kali Linux
 
Threesome hiyo wanaume wenyewe tupo wachache unategemea nn sasa ukiwa hata mchepuko shukuru tu.
Kweli aiseee wanaume ni wachache af wanawake wengi kinoma. Haukumbuki wale wa mlima wa moto walivyokua wengi wanangoja upepo wa kisulisuli utupeleke tukawaoe
 
😂😂😂 ule mlima wa moto acha kabisa mzee wangu.
 
Threesome au foursome????

Wanawake someni.....fanyeni kazi au biashara msiende kutumika hivi

Dini take imemruhusu kuoa 4 lakini sio kulala nao chumba kimoja

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee me huwa nasema bora mwanamke ambaye hajasoma anakuwa na asilimia kubwa ya possibilities za kupata mume na kuolewa na kuishi maisha ya ndoa bila shida sababu ameshajitoa....

Ila hawa wanawake waliopata cheti cha chuo aisee ni takataka sijawahi kuona na ndio wanaoongoza kwa akili bange......

Ubishi, ujuaji, viburi, kupiga vibomu, kuliwa na wanaume nane kwa wakati m'moja ni kawaida, na wanaongoza kwa kuwa desperate na kuzaa zaa hovyo kama mbwa na kila mwanaume wanaempanulia mapaja....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye kipindi cha "Leo Tena" clouds dr Mwaka kasema kwamba kuna mda analala na wake zake wote chumba kimoja.

Wake zake wameonesha kupendana kweli japo kwa kawaida wake wenza huwa wana visa vya mara kwa mara. Wake hao wameonekana wakicheza studio na kukumbatiana kisha kumbusu mme wao (dr Mwaka).

Jamani wanawake msiwe mnachukia tunapowaongezea wenza bali mfurahie na hata ikibidi muwe kabisa mnatushauri tuwaongezee yupi

~Peace
Kali Linux
Maigizo ya maisha, pichani furaha tele, behind the scene!!!??

We have become a sad generation with happy pictures.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Aisee me huwa nasema bora mwanamke ambaye hajasoma anakuwa na asilimia kubwa ya possibilities za kupata mume na kuolewa na kuishi maisha ya ndoa bila shida sababu ameshajitoa....

Ila hawa wanawake waliopata cheti cha chuo aisee ni takataka sijawahi kuona na ndio wanaoongoza kwa akili bange......

Ubishi, ujuaji, viburi, kupiga vibomu, kuliwa na wanaume nane kwa wakati m'moja ni kawaida, na wanaongoza kwa kuwa desperate na kuzaa zaa hovyo kama mbwa na kila mwanaume wanaempanulia mapaja....

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema yote

Aise umemaliza yote, yaani hawa wanawake wenye vyeti ukiwa nawo ni kama umejifunga mabomu muda wowote yanalipuka, Bora walimu tena wa shule za msingi angalau unaweza pumua!
Na swala la kuwa na wanaume wengi wanaongozwa kuliko hata wanaojiuza!
 
Aisee me huwa nasema bora mwanamke ambaye hajasoma anakuwa na asilimia kubwa ya possibilities za kupata mume na kuolewa na kuishi maisha ya ndoa bila shida sababu ameshajitoa....

Ila hawa wanawake waliopata cheti cha chuo aisee ni takataka sijawahi kuona na ndio wanaoongoza kwa akili bange......

Ubishi, ujuaji, viburi, kupiga vibomu, kuliwa na wanaume nane kwa wakati m'moja ni kawaida, na wanaongoza kwa kuwa desperate na kuzaa zaa hovyo kama mbwa na kila mwanaume wanaempanulia mapaja....

Sent using Jamii Forums mobile app
We mpuuzi mbona maneno makali hivyo?
 
Back
Top Bottom