Wanapenda ngono tu!

Mimi napenda kupendwa tu.
Master card a.k.a mkwanja.

Chukua tano mkuu!!
There ua!

With the above post.... Glad you are back...
mkuu usipoteze muda kujiuliza hilo swali as u'll neva get the answer sababu hata wao mabinti hawajielewi wanataka nini kwa wanaume pia hata wao kwa wao hawaelewani...... Mi sipendi kuwalaumu kwa ujumla wao ila nakubali tu kwa ujumla wetu kama binadamu ni watata sana... Siku utakapo pata mwanamke anayekupenda saana ndo utakuwa mwisho wa hilo swali coz honestly wala tusidanganyane mapenzi hayana formular, heartbroken zinatufanya tujiulize maswali mengi sana..... Calm down mzazi
napenda kusikilizwa,kuonewa huruma,kuwa protected,napenda kufikishwa kunako napenda mastercard tembo lol hapo sifurukuti lol
Nadhani wanapenda zaidi mwanaume anayemfikisha pale pahala vizuri,anaye mpenda na mwenye uwezo wa kumlinda.
Kataa/kubali, mwanamke akikunwa kisawasawa pale pasipokunika hata akifariki, ataendelea kukupendea kaburini. Mpe pesa, mfanyie yoote but usipomtoa ukelele wa utamu hawezi kukupenda.
NB: tofautisha kumgegeda akapata raha (ambazo hata akitumia vidole anaweza pata) na kumkuna kunako uwasha (anakowashwa.)