Wanawake huwa wanapenda kitu gani kwa wanaume?

Jamani eeh hebu tuambizane, nn huwa kinawafanya wanawake kufall in love kwa wanaume?

shikamoo m'jr. take this from me ukweli ni kwamba kwa wanaojielewa hawafall in love kirahisi kiivo lazima ujenge msingi ulo imara

nafikiri umeelewa wew ni shahidi. ahaaaaaaaaaa
 
Hapana
mi nataka nitofautiane
kidogo na Maega, we just wanna know the things they primarily look kwa
mwanaume. Hahahaa Master Card..... saafi!

ulipotaja tu "master card" ndo ulikuwa unaanza kuongea point. but anyway
kitu cha kwanza ni CARE. nikisema care sio zileee za kitoto!
 
shikamoo m'jr. take this from me ukweli ni kwamba kwa wanaojielewa hawafall in love kirahisi kiivo lazima ujenge msingi ulo imara

nafikiri umeelewa wew ni shahidi. ahaaaaaaaaaa
Hahahahaa luckyline nimekusoma halafu marahaba motto mzuri hujambo? Una kesi na mimi wewe ujue hebu nafute
 
Last edited by a moderator:
You are so correct they love four things; the first is money, second is money, third is also money and last but not least is money...

Imefikia wakati wanaume hata mtakapopendwa kiukweli hamuwezi amini .Pesa sio kila kitu wanaume wenye pesa wengi wanawa-mistreat wanawake lakini unaweza ukampenda mtu ukampenda yeye na asione real love kwake akaona labda upo kwaajili ya pesa :A S angry:
Real love bado inaexist jamani
 
ukweli ni kwamba hakuna sifa ambazo ni common kwa hawa binadamu, mara nyingi wanachosema wanakitaka mdomoni sio wanachokitaka moyoni
 
Hekima, busara na heshima aliyonayo..
upendo wa kweli..
kiwango chake cha kumcha mungu.
 
Hawa Madada Hawana Formula Unaweza Ukakataliwa Mtu Wa Maana Lakini Mpiga Debe Akampa Papuchi Ndo Maana Nasema Mwalimu Wao Kipofu
 
Mapenzi ya kweli kwa sasa ni shida kuyapata, na wanaoyataka wengi hawajielewi nini hasa wanachohitaji. Ndio maana wengi humu wanazungumzia tembo card, mapenzi na fedha ni vitu viwili tofauti.
 
wanawake wanapenda kurudhizishwq on bed hata uwe maskin na yeye tajiri but ukimkaza vyema he must fall in love kinoma noma
mens weng hawana uwezo wa sex so silaha yao ni pesa
 
Back
Top Bottom