Wanawake wengi huwa hawafiki kilelei wakati wa kufanya tendo la ndoa

mhogoz

Member
Oct 16, 2021
92
108
Karibia asilimia 85 ya wanawake huwa hawawezi kufika kileleni wakati wa tendo la ndoa. Kumfikisha mwanamke kileleni ni art ambayo ni wanaume wachache sana wanayo. Wengi wa wanawake hata kama hafiki huwa wanaona aibu kumwambia mpenzi wake kuwa hafiki kileleni, wanawake ni wanafiki sana kwenye hilo eneo hatakuambia ukweli.

Kumfikisha mwanamke ni jambo rahisi linalohitaji timing kama kumchinja Kobe, wakati mwingine wanaume tupo selfish sana ukishamaliza mambo yako humtaki usumbufu. Ni afadhali kuacha kufanya sex kuliko kufanya kwa kiwango cha chini.
 
Unawezaje kumfikisha kilele cha kilimanjaro mtu kabeba mikoba ya madeni, majina manne ya vicoba, anawaza akuibie ukimaliza ukisinzia tu anapita na wallet, single maza nyumbani kwqke watoto hawana chakula anawaza utampa sh ngapi. Mkuu fanya kilichokupeleka kaendelee na kutafuta pesa huyo atakojoa akifika kwao.
 
Karibia asilimia 85 ya wanawake Huwa hawawezi kufika kileleni wakati wa tendo la ndoa.kumfikisha mwanamke kileleni ni art ambayo ni wanaume wachache sana wanayo.wengi wa wanawake hata kama hafiki Huwa wanaona aibu kumwambia mpenzi wake kuwa hafiki kileleni,wanawake ni wanafiki sana kwenye Hilo eneo hatakuambia ukweli.Kumfikisha mwanamke ni jambo rahisi linalohitaji timing kama kumchinja Kobe,wakat mwingine wanaume tupo selfish sana ukishamaliza mambo yako humtaki usumbufu.Ni afadhali kuacha kufanga sex kuliko kufanya kwa kiwango cha chini.
Niwaze kutafuta hela, niwaze na kumfikisha mwanamke kileleni Hapana
 
Wanachelewa sana kufika, wakati unamuandaa mwanamke mzuka uumpande mpaka aanze kuwewesuke we huku goli la kwanza lishandondoka nje ya neti. Yaa nini kudodosha goli nje wakati njia ipo wazi kutumbikiza kete uachie goli ndani? Mwanamke ndio anapaswa kujiandaa mwenyewe hata kabla hajavua nguo
 
Ni ukweli usiopingika wanawake karibia asilimia themanini (80%) hawafiki kileleni kwa kuingiza dushe,,utakuta watu wanasema mpelekee moto hata nusu saa huwa mnajidanganya tu

Kuna maandizi ya pre match, anahitaji maneno matamu ya mapenzi,maneno ambayo yata uyeyusha moyo wake,maneno ambayo yatamfanya aanze mwenyewe kulowa

Nenda next step bado akiwa na pant touch her very nicely hapa manyunyu yataanza kuanguka,,huku unamwambia how beautiful she is, mwambie maneno matamu ambayo yatamfanya apoteze fahamu za dunia hii na kuwa dunia nyingine

Kinachofuatia usiende kwenye g spot moja kwa moja,bali vidole vyako vitembee kuzunguka her private part taratibu huku unamsoma sauti yake na moves zake,,pale utakapo muona anarespond vizur hapo cheza napo sana

Kinachofuatia nenda kwenye g spot,,huenda wengi hatujui iko wapi,,ipo kwenye mashavu ya uke uku juu ambako kuna nyasi zetu zilee,,iko kama urefu wa cm2 kutoka juu kwenda chini,,tembeza vidole vyako taratibu hapo,,hiyo ndio sehemu ambayo iko sensitive sana,unaweza muona mwenyewe anaanza kukata viuno,,chezea hapo na kisha shuka chini kwenye tundu la kuingiza dushe huku unamsoma jinsi anavyorespond

Kisha unapanda juu tena na kuweka mkazo hapo kwenye g spot,,ukiwa vizur katika eneo hilo baby wako anaweza fika kileleni hata kabla ya kumuingilia

Step nyingine ambayo haina kukopesha yaani asilimia mia imo ni kueat pussy,,yaan hapa waeza ona macho ya mwanamke yanazunguka kana kwamba anataka kufa,,lkn hafi 😅😅,,,ni hisia za utamu tu zinampagawisha,,hapa asilimia mia anafika,,utahisi misuli ya uke inabana na kuachia hapo ni mlimani tu,ishu ni wataalamu wanasema unaweza pata kansa ya koo

Lakini ukiwa vizuri katika kupita na vidole napo anafika vizuri tu,,,kwahiyo kukaa juu ya kifua dakika arobaini sijui thelathini sio ndio mwanamke atafika kileleni laa uongo,,it's about maneno matamu,good touch hlf unamalizia na dushe yaani hapo ubingwa ni wako

Achana na mkongo,sijui vumbi la nini,wengine sijui mnapaka nini ili muwe na ganzi msimwage haraka hayo ni mateso kwa mwanamke na sana sana mnawatia sugu tu basi

Gracias
 
Karibia asilimia 85 ya wanawake huwa hawawezi kufika kileleni wakati wa tendo la ndoa. Kumfikisha mwanamke kileleni ni art ambayo ni wanaume wachache sana wanayo. Wengi wa wanawake hata kama hafiki huwa wanaona aibu kumwambia mpenzi wake kuwa hafiki kileleni, wanawake ni wanafiki sana kwenye hilo eneo hatakuambia ukweli.

Kumfikisha mwanamke ni jambo rahisi linalohitaji timing kama kumchinja Kobe, wakati mwingine wanaume tupo selfish sana ukishamaliza mambo yako humtaki usumbufu. Ni afadhali kuacha kufanya sex kuliko kufanya kwa kiwango cha chini.
Sasa kama sio nia yao kufika wewe unataka tuwalazimeshe?
Kufika au kutokufika kilele cha raha ni uamzi wa anayetaka iwe hivyo. Mimi nikipanda juu ninachoangalia ni nini kimenifanya nipande,nikikipata ama kumaliza yanayonihusu hayo ya kwake hayanihusu.
 
Huenda F za mathematics ziliwaathiri sana. Read and vote here

Umetudanganya, hii kitu si kweli kabisa hata robo, labda asilimia hizi ni kwa wanawake wanaojiuza tena wale malegend mwaga ondoka. Ambao idadi yao wanaojiuza hawafiki hata laki bongo. Sasa weka hizo asilimia zako.

Tena na wao, Wengi tu wanafika mshindo. Ila hao wa buku tano buku kumi, mwaga ondoka, mbona unachelewa sekundee tu, anakufukuza unafikiri anafikaje mshindo huyo.

Other side of the coin, hawa wetu wengine, mshindo wanafka safi sana. Zaidi labda wewe muandishi unashida sehemu au ndugu yakko unayemuongelea. Ana shida sehemu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom