Wanawake huua waume zao ili warithi mali

Mahusiano ni kitu cha ajabu saana, mi sometime nawaza kuoa ndugu yangu kidogo atakuwa na huruma kwani jini likujualo halikuli likakwisha tofauti na mwanamke ambaye hamna nasaba nae hana cha kupoteza anapotaka kukuua hafikirii mara mbili lkn ndugu kutakuwa na uzito flan hv kwani Damu nzito kuliko maji
 
Wanawake ni makatili sana akikubadilikia arudi nyuma

Ova
 
You call yourself God's Believer, why not call people into the Light rather than have them believe there is the power of darkness that engulfs men through women?

Bandiko lako sio sahihi. As God's Believer you may have done more harm than good. Trying to imply that all kids who lost their Dad's was as a result of their Mother's evil deeds is not right at all.

Just because you grew up in a tiny village where such things happen does not mean the entire world does that so stop painting such a bad image of widows. Binafsi story hizi niliwahigi kusikia tu eti ni za Uchaggani.

Ifike mahali tuzidi kumuamini Mungu kwa kudra zake. Ambacho Mungu hajakuandikia hakitakufikia.

What happened to our belief in God?
Siku sema wote bali nimesema baadhi! Au wataka uniambie nimeleta hapa kwa lengo gani hasa?
MImi nimeleta hapa kwa sababu nimeshuhudia haya na wengi wanapotezwa kwa hii njia... japokua utadharau hili bandiko unaweza kuja kuona hii tukio japo siombi hivyo ila we weka akilini kuwa haya mambo yapo.
 
Mahusiano ni kitu cha ajabu saana, mi sometime nawaza kuoa ndugu yangu kidogo atakuwa na huruma kwani jini likujualo halikuli likakwisha tofauti na mwanamke ambaye hamna nasaba nae hana cha kupoteza anapotaka kukuua hafikirii mara mbili lkn ndugu kutakuwa na uzito flan hv kwani Damu nzito kuliko maji
NIliwahi kukuambia uachane na hiyo belief mkuu au mpaka ukutane na hayo mambo ndio utaamini?
 
Hapa duniani, mwanaume ni mtalii na upande wa pili ni kivutio cha mtalii. Kazi kwako mwanaume kutalii mbugani kwa kutembea na miguu, kutumia gari, au helicopter ilhali mbugani kuna simba, chui, fisi, ngurue pori, mbwa mwitu, sungura ......
 
You call yourself God's Believer, why not call people into the Light rather than have them believe there is the power of darkness that engulfs men through women?

Bandiko lako sio sahihi. As God's Believer you may have done more harm than good. Trying to imply that all kids who lost their Dad's was as a result of their Mother's evil deeds is not right at all.

Just because you grew up in a tiny village where such things happen does not mean the entire world does that so stop painting such a bad image of widows. Binafsi story hizi niliwahigi kusikia tu eti ni za Uchaggani.

Ifike mahali tuzidi kumuamini Mungu kwa kudra zake. Ambacho Mungu hajakuandikia hakitakufikia.

What happened to our belief in God?
Kombora limeangukia ikulu hilininamaana umepiga penyewe naona watu wanaweweseka huk. Juhudi za kuniua zinaendelea...lakini...
 
Inatakiwa kila baada ya miezi sita uende kwa mtaalamu au fundi ukamfanyie uchunguzi anapanga nini juu yako,
kwa nyie mnaeamini elimu ya kizungu sijui damu ya yesu yatosha au allah atakunusuru,hao wamekupa akili?
Mnakumbuka wengine wanauliwa kwa kuwekewa sumu kwenye vipaza sauti vya kusemea na mifano ipo?
Binadamu haaminiki wala hana dhamana.
Sasa shida zote hizo za nn si ni bora usioe tu au?
 
Mahusiano ni kitu cha ajabu saana, mi sometime nawaza kuoa ndugu yangu kidogo atakuwa na huruma kwani jini likujualo halikuli likakwisha tofauti na mwanamke ambaye hamna nasaba nae hana cha kupoteza anapotaka kukuua hafikirii mara mbili lkn ndugu kutakuwa na uzito flan hv kwani Damu nzito kuliko maji
[emoji23] inaonekana una mabinamu wengi kweli
 
Hii ni kwa wanawake wasokua na shule kichwan na wasokua naelim ya din

Kuhusu dini kuna baadhi ya wanawake wamevurugwa na wanafuruga hadi familia zao kupitia hizo hizo dini za kisasa za uongo uongo. Kutwa kucha wako huko hata kazi hawafanyi, na fedha za kuendeleza familia wanaishia kuzitoa zawadi kwa wale jamaa wanaojiita wachungaji. Wengine hadi ngono wanafanya huko huko au kuwaleta hadi nyumbani wanaume ati kwa kisingizio kuwa walihamua wenyewe kujiita wachungaji. Kwa kweli this is rubbish, lazima kuwa makini maana hapa duniani anything too much is harmful.
 
Back
Top Bottom